Natafuta hostel maeneo ya Ubungo, Mwenge, Survey au Sinza

NDESSA

JF-Expert Member
May 2, 2013
1,946
1,795
Naulizia mahali mtu atapata hostel/chumba chenye kitanda na godoro maeneo tajwa.
Ni kwa matumizi ya miezi michache, kama kuna anaejua naomba msaada.
 
Back
Top Bottom