Recent content by PEZE

  1. PEZE

    JamiiForums Tanzania Watu ambao dunia haitawasahau

    Binafisi naamini hapa duniani kila mtu anajambo alilowahi kulifanya na kupelekea jamii yake kubaki ikimkumbuka daima. Jambo linaweza kuwa jema au baya,lakini bado atakumbukwa kwa hilo.binafsi kwa hapa tanzania ukitoa baba wa taifa anayefata kwa sasa ni Ngoyai LOWASA, ndugu huyu katuonesha kwa...
  2. PEZE

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

    Tamu saaana!
  3. PEZE

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa, Musoma mjini - Oktoba 11, 2015

    Lowasa shikamoooo
  4. PEZE

    JamiiForums Tanzania Mtikisiko CCM: Vigogo watano kutoa msimamo hivi karibuni

    Hapa zika tu
  5. PEZE

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Alianza komba,kombani na sasa mtikila na hawa wato walizihaki! afya na uzima ni mipango ya m/mungu
  6. PEZE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kimenuka Mbeya

    Urais ni taasisi ya kutumia akili wala si nguvu! push up za magufuri anafaa kuwa mlinzi wa ikulu na si rais.
  7. PEZE

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kuamini Kikwete na Lowasa wana uadui!

    Ya Mungu mengi, tutasikia mengi mwaka huu
  8. PEZE

    JamiiForums Tanzania Barua ya Prof. Issa Shivji iliyochelewa kufika

    Sawa ila mwaka huu ni ukawa tu barua tutaisoma mwakani
  9. PEZE

    JamiiForums Tanzania Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Hana jipya huyo.
  10. PEZE

    JamiiForums Tanzania Ccm tuleteeni mwigilu tuje tumpe somo,!

    Wamlete na Atakoma this time tupo vizuri , by the ntale, shelui giant.
  11. PEZE

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Viva kamanda jm
  12. PEZE

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wagoma jioni hii kwa kisingizio cha kuwatetea walimu, Ndugai aahirisha Bunge

    Matapeli sana haya! 2nawasubiri kitaa wataisoma namba mwaka huu hawa magamba.
  13. PEZE

    JamiiForums Tanzania Vita ya Urais sasa ni Wassira na Lowassa

    Wassira ama lowassa nahama nchi!
  14. PEZE

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kijeshi kumuondoa Rais wa Burundi madarakani

    HAWEZII! Chezea nkurunzinza wewe
  15. PEZE

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    Nipo shelui iramba ya mwigulu siamini ccm imechokwa balaa!
Back
Top Bottom