Ccm tuleteeni mwigilu tuje tumpe somo,!

Ccm tuleteeni mwigilu tuje tumpe somo,!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,097
Reaction score
10,951
Wana Iramba tuna hamu sana ya uchaguzi!TEna chonde CCM msimkate Mh Mwigulu.Tunataka aje ajifunze ni
e fedha na akili kipi ni zaidi
 
Songela zigi zigi, mtakutanishwa naye sasa hivi hawana ubavu wa kumwengua.
 
Ana rafu chafu sana kwenye siasa! hana logical reasoning katika mikakati yake. Anafanya mambo kisavimbisavimbi sana!
 
Wamlete na Atakoma this time tupo vizuri , by the ntale, shelui giant.
 
Huyu itabidi mlinde sana kura zenu, maana kwa ugaidi wake hachelewi kumtoa mtu maisha kwaajili ya kura moja tu.
 
Back
Top Bottom