Barua ya Prof. Issa Shivji iliyochelewa kufika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barua ya Prof. Issa Shivji iliyochelewa kufika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngambo Ngali, Dec 15, 2010.

 1. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Hii barua imetolewa katika kitabu kiitwacho Intellectuals at the Hill, Essays and Talks 1969-1983, DUP,1993, Second Reprint, Page 56

  Nimeisoma hii barua na kugundua kuwa:

  a) Karibu yote yaliyoandikwa ni kweli kweli tupu
  b) Wanaozungumziwa humu wakati huo walikuwa maofisa wa kawaida , hivi sasa ndio viongozi wetu wanaotuletea EPA, Radar, Ndege ya Rais, Loliondo, Richmond, you name it.
  c) Kama tungetafakari na kuyafanyia kazi yaliyomo kwenye barua hii hayo juu yasingetokea
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Duh! Kumbe wasomi wenigne ni prophets nini?
  Big up Shivji. Nimemsikia juzi juzi channel ten akilonga haya haya. Kumbe uliona mbali mzee wetu.
  Hata hivyo tumeshawagundua na tutakula nao sahani moja. Au wao au sisi! Mabadiliko hayaji siku moja. Lakini wote sisi na wao tutalipa gharama. Naam watalipa gharama. Si bure nasema watalipa gharama.
   
 3. G

  George Smiley JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Ulimwengu alilizungumzia hili juzi lakini watanzania hawakuona jinsi alivyowatukana kisomi.
   
 4. Mbilimbi Mbovu

  Mbilimbi Mbovu Senior Member

  #4
  Aug 18, 2015
  Joined: May 25, 2015
  Messages: 185
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Ngambo Ngali, Barua imefika... Ila sidhani kama kuna atakayejisumbua kuisoma, watu wako bize na siasa za vyama!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. General Mangi

  General Mangi JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2015
  Joined: Dec 21, 2013
  Messages: 7,074
  Likes Received: 7,088
  Trophy Points: 280
  tatizo lugha, ndio maana hatukumelewa na bado hatujamwelewa
   
 6. miss gisenyi

  miss gisenyi JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2015
  Joined: Feb 21, 2015
  Messages: 652
  Likes Received: 267
  Trophy Points: 80
  Aisee heshima kwa prof shivji,Mungu atuongezee wàsomi wenye dira na busara
   
 7. mkafrend

  mkafrend JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2015
  Joined: May 12, 2014
  Messages: 2,086
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  Mie ndo naanza kidato cha kwanza mwakani! Ila ccm siipendi kwa sbb ya wakubwa kukumbatiana (Siyo wakati wa kusalimiana)
   
 8. T

  The Prezident JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2015
  Joined: Jul 2, 2013
  Messages: 461
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ... Kuna jambo linatokea karibuni Tanzania.
   
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2015
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Hiyo barua haikuchelewa hiyo ndiyo ilikuwa hali halisi wakati wa Nyerere.
   
 10. L

  Lagossa JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2015
  Joined: Oct 26, 2014
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ccm is a devilish party which is using darkness power to rule people

  the only thing that we can do to bring down its strongholds is pray and allow god

  to take control
   
 11. p

  penitentiaries Member

  #11
  Aug 18, 2015
  Joined: Jun 15, 2015
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hahaha...!
   
 12. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2015
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Yeye mwenyewe Profesa akaja kusalimu amri, akanyoosha mkono, akakubli kununuliwa, akaungana nao na mwishowe akaishia kutusaliti...shame, shame, shame...!
   
 13. j

  jellyFish JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2015
  Joined: Mar 6, 2013
  Messages: 285
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Elimu inanunuliwa!! kitabu ndio kinanunuliwa na mwalimu analipwa. Elimu hainunuliwi. Ukisema ukweli unaouma kuhusu cdm, umenunuliwa. Hamtoweza kuwa dectate watu wazungumze mkitakacho.
   
 14. PEZE

  PEZE Member

  #14
  Aug 18, 2015
  Joined: Mar 9, 2013
  Messages: 66
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 13
  Sawa ila mwaka huu ni ukawa tu barua tutaisoma mwakani
   
 15. c

  chinembe JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2015
  Joined: May 16, 2015
  Messages: 4,061
  Likes Received: 3,734
  Trophy Points: 280
  huyu ni profesa njaa....katiba iliyotunguliwa ilimuanika peupe,inawezekana hata hayo aliyoandika hayaamini na anaweza kuyakana siku moja,dont trust that prof
   
 16. annito

  annito JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2015
  Joined: Aug 13, 2013
  Messages: 761
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  haaahaaahaa

   
Loading...