Propaganda feki,rais wetu ni lowasa tuu sisi wanyonge
jaba likijaa maji linatulia....tulia bs jaba mbona muongo ka umezaliwa guest house..
Viongozi wa 4um na viongozi wa boda boda wa mkoa wa mbeya wameamua kuhama chadema na kujiunga na ccm kutokana na mambo maovu yanayo endelea ndani ya chadema na ukawa kwa ujumla hali hyoo imekwa ikiendelea kwa muda mrefu jambo ambalo limepelekea sintofaham ya viongoz hao wa 4um na kushindwa kueshimiana kati ya viongozi wa cdm na viongoz hao wa 4um kwa kauli yao moja wamesema watahakikisha wanampigania dr, magufuli na kumnadi nyumba kwa nyumba hadi kieleweke na mwishowe kuibuka na ushindi wa kimbunga,,,, tumekuja pahala salama kabisa na sehem ya kwenda ikulu......................

4um ni chama gani Mkuu?
Ndoto hizoWe dogo tulia! Ngj Oct tukunyoeni
Hongera wamejitambua hao.