Ni ujinga kuamini Kikwete na Lowasa wana uadui!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,600
Hivi sasa JK na Eddo wanafanya siasa za next level kiasi cha watu kuamini propaganda kuwa hawa boys2men wamefarakana. Lakini kwa macho ya ndani utaona ni dhahiri ccm ndiyo inayompeleka Lowasa ikulu. Hizi ni siasa za kisayansi JK alishajua mabadiliko ni lazima hivyo akamtanguliza Lowasa kunako change, hakutaka kurudia makosa ya Nyerere alipong'atuka. JK alipowaambia ccm wajiandae 'kisaikolojia' hakuwa anafanya mzaha, time will tell!
 
bwana hata urafiki unafikaga mwisho, mimi siwajui vizuri jk na el. kama wamepanga poa
 
Hilo nalo neno, wenye kutafakali kwa kina watatoa hoja za msingi
 
Nimeshangaa sana kuona jina la Diallo kwenye team kampeni ya Magufuri.
Diallo huyuhuyu aliyewapa UKAWA maspika makubwa ya kisasa pale furahisha na kuwafanya UKAWA wajidai na kuionyesha dunia jinsi gani wan. ubalika kanda ya ziwa.
Hapa lazima nikubaliane na wewe mleta mada sio
bure kuna watu wameangushiwa jumba bovu
 
Au walikodi mkuu maana mfanyabiashara hachagui mteja
 
Hivi sasa JK na Eddo wanafanya siasa za next level kiasi cha watu kuamini propaganda kuwa hawa boys2men wamefarakana. Lakini kwa macho ya ndani utaona ni dhahiri ccm ndiyo inayompeleka Lowasa ikulu. Hizi ni siasa za kisayansi JK alishajua mabadiliko ni lazima hivyo akamtanguliza Lowasa kunako change, hakutaka kurudia makosa ya Nyerere alipong'atuka. JK alipowaambia ccm wajiandae 'kisaikolojia' hakuwa anafanya mzaha, time will tell!
you are such an intellectual who thinks critically with an investigative analysis.. keep it up, though there will be some people to oppose this fact. In politics these are called conspiracy when other people/citizens thinking of at the normal perception while things are beyond the fact..
Hongera kwa thread nzuri ingawa unanipa mashaka kama wewe sio wa Tango India(double) Sierra... reply with double roger if you have copied.
 
Back
Top Bottom