HahahA ii sasa Laana na ndo ujinga ambao Mungu anijalie niendee kuamini sehemu Takatifu ni Mbinguni tu na hapana sehemu ya kufananishwa na utukufu wake huo. Leo Ikulu ina utakatifu gani Leo Rais Ana utakatifu gani hii ndo Ibada ya miungu watu. Ila yupo mmoja tu abadtahili Utukufu.
Mtuache na Tundu Lissu wetu kwa taarifa yenu huku Jimboni kwake hatuna shida kama mnavyodanganya taabu ya Maji haiko huku tuu. Sengerema, Geita, Msoma, Misungwi wote hao wamezungukwa na Ziwa Victoria na wako chini ya Wabunge wa CCM tena wengine ni Mawaziri lkn Tabu ya Maji IPO ACHENI UNAFIKI NA...
Hapo ndo pa kuwaza sasa hivi kila ikitolewa Ripoti ya Makusanyo ya Kodi ni Raha kwelkwel ila sasa Bajeti imedoda hakuna Pesa jamani hebu tuweke itikad zetu ktk hili tupambanue kwel Tilion29 ni Bashite (0) 32 ndo itawezekana kwel?
Mkuu kumbe nimeamini unashoboka na Mambo ya Mitandao Baada ya kukusema sana na Serikali yako kuhusu Wimbo Mtamu wa Ney Dawa imekuingia ila chunga usiwe Unauma na Kupuliza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.