Tundu Lissu ana siasa za majitaka

Tundu Lissu ana siasa za majitaka

Ni upuuzi kuomba kumtembelea mtu, na kutangaza ajenda zako zote kwenye vyombo vya habari na kumkebei mwenyeji wako mtarajiwa kabla hata ya kupata mwaliko.

Na kutoa vitisho eti asipokubali atakuwa amekukimbia.Na kwamba utawaambia wananchi. So what?

Naomba Ikulu isimuruhusu mtu wa aina hii kukanyaga sehemu takatifu kama Ikulu.

Mhu! Kama waandishi walimwuliza akienda kwa Rais kama alivyokuwa ameahidi ulitaka aseme nini? Mimi nadhani unachokisema ni "blanket conclusion" kuliko ukweli wa jambo lenyewe. Ulitaka kama angeulizwa atamwuliza Rais nini awe bubu? Kwa mtazamo wangu, Tundu Lissu hataki kufichaficha anachotaka kumwambia Rais na Rais siyo taboo kwamba ukitaka kwenda kumwona lazima iwe siri. After all, inawezekana hayo aliyosema ni miongoni tu ya mambo atakayoongea na Rais. Mbona hata wakuu mbalimbali wakitaka kwenda kumwona Rais huwa vyombo vya habari vinatangaza yatakayoongelewa na pia (mfano) mikataba itakayosainiwa kama ni taboo hivyo? Mfano ni ujio wa Waziri Mkuu wa Ethiopia nchini. Vyombo vya habari vimeandika kuhusu ujio huo na baadhi ya yale yatakayoongelewa pia.
 
Huwa namwonyesha mungu mipango yangu nikihitaji anipe afya na ujasiri wa kufanya nae ananipa kwa wakati wake

Hua namshikisha Mungu kwa sala ya kuombea taifa langu na viongozi wote bila kujali itikadi ya chama cchote kila siku kabla na baada ya kulala nae hunisikiliza

Hua nawaombea watesi wangu,maadui wangu ili wageuke na kutenda mema na kuwaombea wengine nae hunisikiliza

Hua namwomba Mungu atusimamie aman na usalama wa mataifa yte yaliyo katk migogoro na vita nae hunisikia...


Nachoanza kumwomba mungu leo asimpe ruhusa Mheshimiwa Magufuli kibali cha kumruhusu Lissu aende ikulu,,,kwa kebehi na kujiona kwamba yeye ni mtakatifu nchi hii mpka aanze kututangazia protoko za ikulu kwamba akikataa atakua kamkimbia,,,rais wangu kataaa katakata... Halafu aje kwetu kulalamika kama kawaida..Mungu lakin wewe ndio unajua zaid yetu kama kibali utatoa kwa mheshimiwa rais kuwaalika ikulu akina chiriku Lissu bas mwache aongeeeeeee,asemeeee azungumzeeee,,,then muulize are you done??? Akisema yes mwambie Ok Go
 
Kasledi haka naona kamepata pancha..yaani kapo tu wala hakosogei mbele.
 
HahahA ii sasa Laana na ndo ujinga ambao Mungu anijalie niendee kuamini sehemu Takatifu ni Mbinguni tu na hapana sehemu ya kufananishwa na utukufu wake huo. Leo Ikulu ina utakatifu gani Leo Rais Ana utakatifu gani hii ndo Ibada ya miungu watu. Ila yupo mmoja tu abadtahili Utukufu.
 
Shida kubwa ya ninyi CDM mnaongozwa na viongozi walioogopa umande. Hawana shule.Na wafuasi wao wanakunywa umbumbumbu wa maboss wao bila kuhoji.
Kama prince Bashite siyo? Wewe ni mfagizi hapo ikulu? Watch it!
 
Back
Top Bottom