SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,616
- 7,863
Kwangu mimi hakupaswa kukamatwa. Kumuachia ni jambo jema na ni uamuzi sahihi lakini wangeweza kufanya vizuri zaidi na katika namna ambayo haidhalilishi serikali au watendaji wa serikali.Na sisi watanzania embu tujaribu kutumia hata utambuzi kidogo,
Kila kitu tunasubiro watu au mtu fulani aseme ndio tupate cha kuongelea
Sio kila kinachoongelewa lazima mtu tuje kwa pupa.
Alikamatwa, wengi tulikuja juu
Ameachiwa tumekuja juu
Sasa sisi kama raia tunasimamia wapi ??
Mambo haya yanatuaibisha sana kama taifa. Site tunaonekana ni watu wa hovyo! Mbona kuna kesi nyingi tu zinatolewa mahakamani na jamuhuri (huwa wanasema tu serikali haina nia ya kuendelea na kesi!)?