YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Mimi ukiniuliza kama CCM ni nani mwanasiasa bora wa upinzani kwa kuwa rank ambao tu ni bahati mbaya walijiunga na vyama ambavyo haviwezi wafikisha mbali kuliko uwezo wao ni. 1.mbunge nasssari 2.profesa lipumba 3.mbunge WA chadema tunduma 4.godlisten malisa 5.zito kabwe.6.upendo peneza Hawa wangekuwa chama tawala wangekuwa mbali mno kisiasa .wako fit Sana kisiasa ila mlengo waliochagua Future zao kisiasa kwenye upinzani hazifiki mbali