Habarini wakuu..
Naomba msaada wa kujua uwezo n storage hizi computer za chromebook.
Kuna moja hapa nnayo ni ya acer na imekuja na lugha tofaut nmeshindwa kubadili lugha ila nmetafuta system management imesema available ni 1.9 gb.. hii saaa inafaa kwa storage kwel au mm ndio sijui. Msaada kwa...
Habari wakulima, mimi naomba kupata mawazo chanya juu ya kilimo cha tumbaku hasa kwa mkoa wa mbeya wilayani chunya maana nimeelekezwa huko kilimo kinakubali.
Kwa wazoefu na hili zao naomba uzoefu wenu.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.