Mnaionaje hii masters

Hiyo ni ya kichawi na kiganga...imekaa roho mbaya na choyo Kwa wanadamu..achana nayo haraka ...

Sina hata diploma
 
Ipo chuo gan mkuu,
Na tafadhali iandike ikiwa na jina lake kamili Msc or arts.
Ili na wengine tupate ufaham zaid
 
Wakuu hii masters ya monitoring and evaluation kwenye market ya ajira mnaionaje.
kama unafanya kazi kwenye miradi hasa ya wazungu ni nzuri, Ila usiende kusoma kama huna Ajira. Maana Ajira zake wanaangalia Sana experience kwanza
 
Wakuu hii masters ya monitoring and evaluation kwenye market ya ajira mnaionaje.
Suala la msingi ni kujua kitu unachokisoma na kukifanya kwa bidii na ufanisi mkubwa hakuna degree mbaya chief ajira ni wewe mwenyewe
 
Back
Top Bottom