Recent content by peterK2

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ajira Jeshi la polisi

    Nisaidie tangazo mkuu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nisaidie tanganzo mkuu
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mbona haifunguki mkuu
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ajira Jeshi la polisi

    Weka tangazo
  5. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunanunulia wapi/nchi gani Internet?

    Hakuna mmiliki wa internet bali kuna wamiliki wa resources za internet kama izo switch, cables, modems,routers and server
  6. P

    JamiiForums Tanzania Hormone pills

    ina nipa shida mkuu ndo maana nime omba msaada.Kila siku chunusi haziniishi niki vaa fulana nyeupe basi nta kuwa sina confidence na makwapa yangu
  7. P

    JamiiForums Tanzania Hormone pills

    Hakuna specific pills kwa hilo tatizo mkuu
  8. P

    JamiiForums Tanzania Hormone pills

    Habari.Wapendwa wapi nta pata vidonge vya kubalance hormone za mwili, lengo ni kucontrol sebum production
  9. P

    JamiiForums Tanzania Facial Oil control

    Habari wapendwa. Jana nili ingia mjini Kariakoo Mtaa wa Msimbazi katika maduka ya vipodozi kutafuta izo Moisture hapo chini ila sikufanikiwa kuzipata. Kama kuna mtu ataweza nisaidia sehemu ya kuzipataa nta furahi sana uweke na bei tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kama hutasoma kozi hizi unapoteza muda wako

    IT nayo vipi wadau [emoji275]
  11. P

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Nina hp probook keyboard kuna mda ina delay ni fanye nn
  12. P

    JamiiForums Tanzania Pc deleting my files

    Habari wapendwa..Nina pc yangu aina ya hp probook 4420s ina tatizo la kufuta files, niki jaribu kufungua file baadala ya kufungua ila ina lifuta file na kuna mda keyboard ina stuck kuna mda pia touch pad ina stuck nime jaribu kupiga window mpya ila sija ona mabadiliko.Msaada wenu ni muhimu...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya programming

    Asante mkuu
  14. P

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya programming

    C++
Back
Top Bottom