Habari wapendwa.
Jana nili ingia mjini Kariakoo Mtaa wa Msimbazi katika maduka ya vipodozi kutafuta izo Moisture hapo chini ila sikufanikiwa kuzipata.
Kama kuna mtu ataweza nisaidia sehemu ya kuzipataa nta furahi sana uweke na bei tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app