Habari wapendwa..Nina pc yangu aina ya hp probook 4420s ina tatizo la kufuta files, niki jaribu kufungua file baadala ya kufungua ila ina lifuta file na kuna mda keyboard ina stuck kuna mda pia touch pad ina stuck nime jaribu kupiga window mpya ila sija ona mabadiliko.Msaada wenu ni muhimu wakuu
