Hormone pills

Hormone pills

peterK2

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
293
Reaction score
91
Habari.Wapendwa wapi nta pata vidonge vya kubalance hormone za mwili, lengo ni kucontrol sebum production
 
Kama una overproduction ya Sebum kwenye ngozi yako tafuta vidonge vinaitwa SPIROLONOLACTONE vinsaidia kupunguza production ya sebum kwa kuzuia activities za testosterone hormone dosw mara nyingi ni 50MG mara moja kwa siku...!!

NOTE: Hizi ni dawa specific kwa watu wenye Pressure na heart failure japo zinatibu pia tatizo la over sebum production so unaweza kupata more side effect.
 
Hakuna specific pills kwa hilo tatizo mkuu
 
Contraceptive pills ambazo humeza kina mama husaidia kupunguza hormones za Kiume..!! Sema sasa unaweza ota manyonyooo pia itapunguza sperm production na side effect za hormones huchukua muda mrefu kuishaa. Vidonge vya uzazi wa mpango vya wanawake ndo unywee pia hupunguza sana level ya hormone za kiume kwa muda mfupi.

So zote ni nia sahihi lakini side effect ndo tofauti ndo maana njia ya kutumia Contraceptive pills japo iko effective na matokeo huonekana mapema lakini pia side effect zake ndo kama nlizokwambia sababu Hormone za kike zitaongezeka mwilini kwako.

VITAMIN A pia husaidia sana kwenye hili tatizo pia so jaribu kwanza Vitamins maana side effect zake sio mbaya sana.
Hakuna specific pills kwa hilo tatizo mkuu
 
Lakini pia kama sebum haikupi shida ya Chunusi au harufu mbaya ya jasho na unjano kwapani usipate nayo shida mkuu kaushia tu.
 
Lakini pia kama sebum haikupi shida ya Chunusi au harufu mbaya ya jasho na unjano kwapani usipate nayo shida mkuu kaushia tu.

ina nipa shida mkuu ndo maana nime omba msaada.Kila siku chunusi haziniishi niki vaa fulana nyeupe basi nta kuwa sina confidence na makwapa yangu
 
Back
Top Bottom