Recent content by Peter_John

  1. Peter_John

    Wapi wanauza baiskeli za design hii?

    Kama nitakosa apo kariakoo alipo nielekeza jamaa ntakutafuta
  2. Peter_John

    Wapi wanauza baiskeli za design hii?

    Salaam, nikienda direct kwenye point nilikua nahitaji baiskeli ya kuchaji design kama hii, sio lazima iwe ivo ivo kama kwenye picha ila iwe ni ya kuchaji na unaweza ukanyonga na pedeli , nipo dar kwa anae uza au anafahamu wanapo uza anisaidie
  3. Peter_John

    Hii Ndio Hali Halisi Ya Mkoa Wetu Wa Dar Sijuwi Kwenu Kukoje?

    Tushauri tufanye nini maana wengine tumejikuta tu tumezaliwa dar
  4. Peter_John

    We CHADEMA, umepiga pigaje hapo?

    Sawa kabisa vipi na kuhusu kufanya usafi kwa wanajeshi na polisi ,usafi ambao uliratibiwa na Amiri jeshi mkuu wa mkoa
  5. Peter_John

    Nani kawaleta Kawe hawa Panya wa maajabu na wa kimkakati wanaosemekana kutokea nchini Malawi?

    Ni kweli Kuna Mtu kawe Kuna Mtu anaishi kawe aliniambia siku za nyuma kidogo kwamba siku hizi kawe Kuna panya wengi sana, Tena yeye alihusisha na Imani za kishirikina ila kwa sumu wanakufa vizuri tu labda ni aina ya sumu unayotumia
  6. Peter_John

    Je, ni utangazaji tu au Kuna mengine nyuma pazia?

    Umesoma nilicho andika hadi mwisho
  7. Peter_John

    Nape na Chalamila mna la kujifunza katika kipindi hiki kifupi

    Samahani nipo nje ya mada wakuu kwani Leo usafi ulifanyika?
  8. Peter_John

    Ukaribisho

    Karibu sana
  9. Peter_John

    DOKEZO MWENDOKASI: Madereva na watumishi wanavyopakiza ndugu zao nje ya utaratibu

    Daah kweli juzi juzi nilienda Muhimbili nimekaa foleni karibu masaa matatu alafu kaja Mtu tunaona anapitishwa tu daah iliniuma kimtindo
  10. Peter_John

    Joti anayapinga maandamano ya CHADEMA?

    Kumbe ndio huyu wa job true true
  11. Peter_John

    Je, ni utangazaji tu au Kuna mengine nyuma pazia?

    Be positive sio lazima Mtu afanye kazi Moja ana Kitenge tv , ana maulidkitenge .com nenda kaangalie makampuni yalio sponse Kitenge tv hayo ni baadhi tu ya yanayo fahamika ,je kama ana mashamba kijijini kwao huko analima tutajuaje
  12. Peter_John

    Sitokuja kusahau, sitaki huu mwaka 2024 uniharibikie tena

    Aisee kama Kuna jambo la muhimu nililo wahi kukutana nalo humu JF basi hili ni Moja wapo
  13. Peter_John

    Sitokuja kusahau, sitaki huu mwaka 2024 uniharibikie tena

    Duuh kwanza pole , ila tuongee ukweli Mtu anashika million 100 bado anashindwa kujenga hata kibanda Cha mill30, Naomba sana Mungu aniepushe na hili "... nikapanga nyumba ya mill 10 natumia hela Hadi ziishe"
  14. Peter_John

    Je, wewe ni Mzaliwa wa Kigoma? Fanya haya ili uraia wako usitiliwe shaka yoyote na wabaya wako

    Inawezekana wameweka nguvu kubwa sana Kigoma kwa sababu ya muingiliano wake na Kongo ukiangalia Kongo ni taifa kubwa na Lina idadi kubwa sana ya watu wanao ingia Tanzania,Mfano wakimbizi Ukilinganisha na muingiliano kati ya Kagera na Rwanda
Back
Top Bottom