Yeah we salute them,
Kuna watu watasema kuwa wamezingua, lakini tutofautishe haiba na mahusiano yenu na majukumu ya kulea.
Hata kama msichana anazingua, sio sababu ya kumnyima matunzo mtoto wako mwenyewe.
And yes Mungu hapendi, lakini hamhukumu mtoto ambaye hana hatia. And the kid has needs still...
1) Unaweza kuona kuwa huu ni ushuhuda mkubwa na ni funzo ila, utakua unakosea sana. Huyo msichana alikuwa ni mdogo na alikuwa anataka mtu wa kuwa naye kwa kipindi. Fikiri hata serikali ingejua ingekupiga 30!
2)Hata kama alikuwa serious mwanzoni na ndoa. Inawezekana down the road aliona vitu...
Yani hapa tunajadili mtoto wa form 2 - form 4 (Yes a kid and apparently a student ambaye akikupa tu tayari una kesi ya 30 years?).
Sa nyingine tufikiri tu kidogo, maana na wewe utakuja kuwa na mtoto wa kike. Hapo ukimpa mimba unamruka futi 100 akahangaike na wazazi na ndugu zake.
Mi nampa...
If in any way you happen to see this through. Rafiki yangu, nakuahidi, Haitakuwa mwisho wa 'depression' . This will no way be your happy ending.
a) Kwenye vita anayesaliti kikosi anakuwa mhaini na kuna laana zinaambatana naye. You are married to your wife and by your choice. Kipindi hiki ni...
Yes, primarily hili suala ni letu wanaume moja kwa moja. Ila mtoa mada kwa kuzingalia jamii, viashiria, vianzilishi na vichangiaji (support), na pia kwa kuangalia position/ role ya wanawake kwenye hili ndio maana akaanzisha mada.
Maana mwanamke ana mchango mkubwa sana sana kwenye malezi...
It's highly unlikely kuwa ataacha, and it will hard for you to find out (Though not impossible). I know it's hard for you as well. Talk to someone who is not close to the family. After sometimes utasahau and if he is nice to you, you'll love again. If you don't deal with it, you are pushing him...
Exactly how my advice would've been.
Katika vyote alivyovitaja only viwili ndo vinahusika na tabia ya mke. And both of them he can do without. Achague tako tu kwa kweli
What can we say?
Make the most of the mornings and the nights for they already have good wishes on them. Mwache aombee asubuhi zako na usiku wako, we fanya mambo mengine kama vile kusoma? Hasa hasa kwa hizo nyakati anazoombea...
Over at your neighbors garden the grass is always greener...
a) Kuna mkuu keshakuambia, wanakutreat vizuri kwa sababu ya maneno anayokusemea mkeo kwao. Mkeo ana picha nzuri ya kwako na hiyo ndio anayoionesha kwao. (This proves beyond doubt she is a good wife).
b) Umesema mkeo anakufukuza jikoni...
If you think that will break it up then u r new to these things. Oh! wait your marriage is still young.
ADVICE: tafuta pesa. Coz if she finds that n ur a broke ass ningga then its done
Kuna mshkaji wangu mmoja tulisoma wote. Katika harakati za kutafuta maisha tukawa tumepotezana kidogo. Jirani kidogo na nnapoishi kuna jamaa tumezoeana anaishi na familia. Na hasa mazoea yalianza kwa sababu mke wake huwa kwenye shughuli za utafiti huwa tumewahi kukutana mara kadhaa (Ila...
Two things
1) She is not that into u
2) Anataka kama unahitaji mzigo basi uubebe moja kwa moja. Yani wengine watakula kimasihara, ila wewe utakula kwa jasho.
USHaURI : Komaa na nia yako, but huyo ni wa kimasihara zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.