Ndoa imenishinda. I need prayers

Ndoa imenishinda. I need prayers

Kwakweli ndoa yangu ya miaka miwili naona ikienda kuvunjika vipande vipanda.

I have been doing lots of Dramas to my wife, can you imagine getting a condom in my pocket?

Its too much
If you think that will break it up then u r new to these things. Oh! wait your marriage is still young.
ADVICE: tafuta pesa. Coz if she finds that n ur a broke ass ningga then its done
 
Wanawake wavumilivu hubahatika kupata wanaume vicheche.. Na kinyume chake...

Basi ukute mtoto wawatu anakupendaaaaaa,,,,, Sema hiyo ni ishu ndogo zaidi,,, mimi ilinikuta kubwa zaidi ya hiyo
 
Miaka miwili umeshindwa ndoa

Boss uliyavagaaa wakati bado unatamaa

Ungevunga tuu kama mm
 
Condom ni njia moja ya kujilinda means unajali,Mwanaume kaumbiwa tamaa ni ngumu kuepuka..
Sema ni ujinga na dharau kuonyesha uchepukaji wako wazi wazi,hakika sio heshima kwa mwenza wako..

Omba radhi haraka kwa kumaanisha,sio tu uombe radhi na ujirekebishe.
Asante
 
Kwakweli ndoa yangu ya miaka miwili naona ikienda kuvunjika vipande vipanda.

I have been doing lots of Dramas to my wife, can you imagine getting a condom in my pocket?

Its too much
grow up dude
 
Kwakweli ndoa yangu ya miaka miwili naona ikienda kuvunjika vipande vipanda.

I have been doing lots of Dramas to my wife, can you imagine getting a condom in my pocket?

Its too much
Sa hilo umeshindwa klisemea?? we bado mvulana, watu tushakutwa na zilizotumika na tupo nao. Njoo tukufunde namna ya kumpanga wala usiende kwa wazee utaharibu kabisa
 
Kwakweli ndoa yangu ya miaka miwili naona ikienda kuvunjika vipande vipanda.

I have been doing lots of Dramas to my wife, can you imagine getting a condom in my pocket?

Its too much
Wewe sio wa kukupata pole ,Ila hongera kwa ujinga wako umekipata unachostahili
 
Kwanza nikupongeze kuwa kuamua kuoa, pili kwa kujali afya na kutumia kondom.

Ila unapaswa kujua ww ni mume wa mtu sasa hv, usela au kampani za masela achana nazo, punguza gambe mzee maana kama unatumia jua kabisa excessive gambe is proprotional to adultery. Piga sala pia, maana shetani hapendi ndoa zidumu.

All the best mkuu. Love thy wife.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli ndoa yangu ya miaka miwili naona ikienda kuvunjika vipande vipanda.

I have been doing lots of Dramas to my wife, can you imagine getting a condom in my pocket?

Its too much
Usione soo sema nae.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom