Recent content by permanides

  1. P

    JamiiForums Tanzania Hahaha tukipotea humu tusiyafutane😃

    Star Park ina kelele hakuna mfano, aheri Terminal Pub
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kulipiza kisasi kwa mtu aliyekuumiza au kukusaliti kwenye mapenzi?

    Utasababisha wanaume wote maskini waonekane ni wanga kwa ujinga wako.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tabora: Polisi waanza kumsaka Mwalimu wa Madrasa mume wa wake watatu na baba wa watoto 17 ambaye ametoweka na kuacha familia yake ikiteseka

    Anapaswa kutoa mahitaji ya familia. Kushindwa kutekeleza sharrti hili ni kosa la jinai.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Wamasai wenye rasta walitulizwa na Masai rapa, mwenda pole hajikwai, alijikwaa baada ya kutegwa na jiwe kubwa, hakunyanyuka tena!

    Hapo bado hujamsikia yule mwanafunzi mwerevu akiomba graph paper, wakati wewe hujaona inatumika wapi.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Watu wafupi IQ zao zipo below uwezo wa kufikiria uko chini sana

    Wazee wa kande
  6. P

    JamiiForums Tanzania Vuguvugu la kudai Tanganyika huru linanukia?

    Sio kweli, jina linatokana na ziwa Tanganyika. Walitaka kuipa majina mbalimbali ikiwemo Kilimanjaro, ila wakachagua Tanganyika.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Binti Ana Ujauzito wa Miezi 3, Sasa Wazazi Wake Wanataka Nikae Naye—Lakini Bado Sijajipanga

    Kama hujajipanga ulipiga kavu ya nini bila tahadhari? hicho chumba kimoja kinawatosha, kwani mmekuwa tembo?!
  8. P

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

    Dodoma nahitaji eneo la kulima mpunga
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nimenusurika kuambukizwa HIV usiku wa leo, nimekoma

    Tangawizi imezidi, yaani mtu ambaye amesisitiza vipimo muda wote, afu wakati wa vipimo anaondoka na haulizi chochote?! Tabia ya kulala kwa wanawake mshaonywa msijaribu, wengi hupigwa mjengo kwa tabia hii.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Patrick Vieira Atekuliwa Kuwa Kocha Mkuu Mpya wa Senegal

    Wakati wakiwa vijana wanacheza, huchezea Ufaransa. Ila wakishastaafu, wanataka wapewe kazi za kufundisha huku Afrika kwa kuwa ndio asili yao.
Back
Top Bottom