Recent content by Perezo

  1. Perezo

    Nisaidieni namna ya kuzikabili changamoto mbalimbali kazini kwangu

    ngoja wanakuja kukushauri mkuu ila inaonekana wew mwanzo ulianza nao vibaya au kuna kosa ulifanya ndo wanatumia kama udhaifu wako ,hebu kuwa mkweli ulisha mtongoza mwalimu au mwanafunz?
  2. Perezo

    Udongo mfinyanzi kutoka Rwanda

    tatzo lao dawasco
  3. Perezo

    Natafuta kiwanja kilichopimwa Dar

    BEI MKUU KAMA HUTOJALI
  4. Perezo

    Aslay asababisha varangati Bukoba

    SASA HAO LOCAL ARTIST NI KINA NAN
  5. Perezo

    Brevis, inauzwa

    huyu kamsaidia tu
  6. Perezo

    Brevis, inauzwa

    weka bei na sehemu ilipo km ngapi na tatizo ililonalo kama utakuwa uungwana
  7. Perezo

    Hawa ndiyo wahenga Bongo waliooa wazungu

    Kuna dada yupo pale DTB Moroco nahisi ndio hawa wazungu wakio zaa na Waafrica.
  8. Perezo

    Work on Dar es Salaam bus rapid transit to resume

    DAR ES SALAAM, Tanzania - Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeanzishwa kutekeleza utekelezaji wa awamu ya pili ya Mfumo wa Transit ya Usafiri wa Dar es Salaam ya Dar es Salaam milioni 159.32 nchini Tanzania tangu Juni 2018. Mradi huo, aina ya kwanza katika Mkoa wa Mashariki mwa Afrika...
  9. Perezo

  10. Perezo

    Nauli boti za AZAM, wahusika mnajua yanayofanyika?

    jibu swali nililo kuuliza?
  11. Perezo

    Nimeamini kwa sasa Watanzania hatuko huru, nimekamatwa kisa kunywa bia kabla ya saa 10

    wewe ndio mpumbavu tena usifananishe pombe na upumbavu wako ndugu zako wanasoma bure kwaajili ya pombe uliza pato la taifa tbl wanachangia kiasi gani
  12. Perezo

    Nauli boti za AZAM, wahusika mnajua yanayofanyika?

    Je????/ wakati wanakuambia za25,000 zimeisha ulijarbu kucheki kwa nia ya mtandao kama zipo available ??????????
Back
Top Bottom