Nimeamini kwa sasa Watanzania hatuko huru, nimekamatwa kisa kunywa bia kabla ya saa 10

NDESSA

JF-Expert Member
May 2, 2013
1,927
2,000
FB_IMG_1494565690445.jpg
 

Norshad

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
4,671
2,000
Bar/ nyingi sense milango ama zile bar ndogo hurudishiwa milango tuu mwenyeji ukija unazama ndani lango linafungwa tena ikifika saa kumi mlango ukifunguliwa ushakuwa zombie, maana ndani kunakuwa kama usiku na yale mataa yao ya rangirangi na mvua hizi unapiga unapiga vitu hadi unakopa...mwendo wa balimi na mwendo kasi tu...pole I sana walevi na wanywaji......ndimi Muzak
 

INGENJA

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
4,994
2,000
Lkn umemshambulia binafsi (angalia post yako) kanakwamba sheria katunga yeye.
sijamshambulia ni memjibu kulingana napost yake ilivyo kuwa,kwani ni yeye tu mwenye haki kuwa abuse wale anaowaona hawako sawa??
 

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,323
2,000
haijawahi kutokea alafu anakwambia atamshinda mkenya kwamaneno tu bila kucreate opportunities,wewe unajua nchi yako uchumi unaendeshwa na watu wa low cadre bado unarudi kumsongasonga tena huyu huyu kwa vitu minor kabisa,ukiuliza wanakwambia eti watu hawafanyi kazi wanalewa yaani unakimbilia kudeal na effect hatuumzi vichwa kujadiliana kuhusu maswala mbalimbali yanayo ikabili nchi sisi tunakimbilia kuweka makatazo,matamko na upuuzi mwingine tu
nasikitika sana ccm inatuumiz watu hawana ajira hakuna, pesa hakuna kazi halafu mtu kaleta kadege kale anajisifu........ alifukuza wawekezaji sasa anaenda kuomba kwa zuma ,huyu jamaa akili zake za ajabu sana........ hata dangote alimfukuza halafu baadae akaenda kumuomba halafu akasimama kutuambia kuna wapiga dili aliwaadhibi ama ilikuwaje
seriously tupo matatizoni kabisaaah halafu anasema anajenga nchi kivpi sasa wakati hatusaidii mungu wetu uko wapi

mimi naweza kufungwa kwa ninachoweza kusema juu ya huyu mtu ngoja ninyamaze
 

INGENJA

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
4,994
2,000
nasikitika sana ccm inatuumiz watu hawana ajira hakuna pesa hakuna kazi halafu mtu kaleta kadege kale anajisifu alifukuza wawekezaji sasa anaenda kuomba kwa zuma huyu jamaa akili zake za ajambu sana hata dangote alimfukuza halafu baadae akaenda kumuomba halafu akasimama kutuambia kuna wapiga dili seriously tupo matatizoni kabisaaa

mimi naweza kufungwa kwa ninachoweza kusema juu ya huyu mtu ngoja ninyamaze
kama mtu uraisi alienda kujaribu unategemea kutakuwa na jambo jipya lenye maslahi kwa taifa,sitaki kuamini kama visionaries wa ccm walikosa mtu wakumuweka pale kuendana na hali halisi yawakati uliopo hasa katika nyanja ya uchumi zaidi ya huyu ambae aliletwa kama picha ya kumtisha mtoto alikataa kuoga na kula,wananchi tulipo dai raisi mkali hatukumaanisha awe mtu wakufokafoka kama hayawani mpaka mahala panahitaji faraja unaenda kufoka,maamuzi hatukumaanisha maamuzi ya kishenzi tu bila kuangli impact ya jambo mfano kama issue ulioongelea ya Dangote ambayo tushaondoa trust-worth kwa mwekezaji hata kama bado yupo,pesa za MCC leo tusinge kimbilia kukopa holela na kumkandamiza mwananchi wachini kujenga reli ya kati
 

SK2016

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
7,997
2,000
Ungewauliza hao polisi kama wana Vyeti.
Ila tubadilike jamani, tufuate Sheria zinazowekwa na mamlaka, japo zinatuumiza wanyonge.
Ili ufanikiwe fuata sheria, maana cku hizi ukibisha tu unabambikiziwa hata makosa mengine.
 

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,162
2,000
pole mkuu, sasa mtu ukiwa likizo inakuwaje, napo unywe pombe saa 10
Siyo hivyo tu, wengine nature ya kazi yao hawezi kunywa pombe kuanzia saa kumi, kwa mfano mlinzi anaingia kazini saa moja usiku anarudi nyumbani saa kumi na mbili asubuhi anaoga anakula anaenda sehemu ya starehe anakunywa pombe zake mpaka saa tano asubuhi then analala ili aamke jioni aende kazini, hiyo ratiba ni very convenient kwake, ila kuna watu wanatoa makatazo as if kila mtu ni Banker.
 

Muyobhyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
8,157
2,000
Siyo hivyo tu, wengine nature ya kazi yao hawezi kunywa pombe kuanzia saa kumi, kwa mfano mlinzi anaingia kazini saa moja usiku anarudi nyumbani saa kumi na mbili asubuhi anaoga anakula anaenda sehemu ya starehe anakunywa pombe zake mpaka saa tano asubuhi then analala ili aamke jioni aende kazini, hiyo ratiba ni very convenient kwake, ila kuna watu wanatoa makatazo as if kila mtu ni Banker.
we acha tu mkuu, 2020 inshallah itafika
 

Perezo

Member
Jan 27, 2017
60
125
Watanzania katika ubora wao wa kudai vitu vya kipumbavu.
Heti anadai kunywa pombe mchana.
Hatari hii
wewe ndio mpumbavu tena usifananishe pombe na upumbavu wako ndugu zako wanasoma bure kwaajili ya pombe uliza pato la taifa tbl wanachangia kiasi gani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom