Recent content by Peppapig

  1. P

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Hapa nimekuelewa,kumbe aliamua kuvumilia tu😅😅😅😅🤣
  2. P

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Mi naomba kujua,kwenye hii riwaya Mr.born town anaonekana ni mwamba kwelikweli sasa yule mzee wa mkono wa baunsa kipindi anamponda ule ujasiri aliupata wapi?mana alikua anamponda kweĺikweli adi tukaamini mr.born town haogopewi kabisa na mkono wa baunsa!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Haina utoto,especially hii just between lovers yani very nice story Kaangalie adi mwisho ikikuboa ntakulipa bando lako mkuu🤣🤣🤣🤣
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitu gani husababisha Wanawake wanune?

    Si umuulize tu Why unataka kufanya mambo yawe makubwa Just ask her,what is wrong baby? Akikujibu vibaya hapo ndo utajua sasa kuwa mwenye shida ni yeye na sio wewe!
  5. P

    JamiiForums Tanzania Watoto kuzaliwa hawana sehemu ya haja kubwa

    Pole dear! Kama wanaweza mfanyia operation hapo baadae na akakaa sawa basi uwe na subira. Kikubwa punguza mawazo ili umlee mtoto vizuri awe na afya njema! Mungu akutie nguvu,
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Wapenzi wa romance drama kuna hizi nzuri Just between lovers, Shooting stars, Dali and the cocky prince, Kuna be melodramatic though hii inajikita zaidi na maisha na mambo yake kama huzuni,confusion,kuachwa na kupendana!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nimemfuma kaka yangu anaabudu mizimu

    Mwishoe uje kuumwa nyoka kufata watu maporini mkuu!
  8. P

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

    Linatoka lini mkuu
  9. P

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

    Majina ya waliopata yanatoka lini jamani
  10. P

    JamiiForums Tanzania Dereva Halima aliyekatika mkono asema 'Niliona mtu ninayemjua akivuka barabara kabla ya ajali'

    Naomba nieleweshe vizuri,ananunuaje kafara?mana mi najua watu ndio hutoa kafara,sasa kununua hapo inakuaje?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Mungu anasema atakupa wa kufanana nawe Kama jamaa hakupenda mambo ya kutoka usiku au ya starehe why alioa wa hivyo? Tukifatisha maandiko yanavyosema kwa habari za ndoa mambo kama haya yatapungua sana! Biblia inasema enyi wake watiini waume źenu,imagine hujamuoa ila wala hakuheshimu unadhani...
  12. P

    JamiiForums Tanzania "Virungu" vimezidi...

    Kwahiyo sisi wenye shida na ela za kula ndo tutajiju au sio? Sawa mkuu tumekupata
Back
Top Bottom