Recent content by pepim

  1. pepim

    JamiiForums Tanzania Ni nini maana ya usemi huu?

    Vizuri sana Kifyatu...... Umetisha hilo Ndio jibu sahihi
  2. pepim

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Nyamagana Mwanza: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Oktoba 12, 2015

    Jembe? Una akili we we? Unaifahamu falsafa ya jembe? Huwa halifanyi kazi mpaka liingiziwe mpini... KWA HIYO HUYO MGOMBEA WAKO HAFANYI KAZI MPAKA AINGIZIWE MPINI, PUNGUZA VIROBA UTAKUWA NA FIKRA SAHIHI.SI KILA NENO UNALITUMIA TU
  3. pepim

    JamiiForums Tanzania INASIKITISHA: Hapa ni Iramba. Jimboni kwa Mwigulu Nchemba

    Kabyemela acha ushabiki wa kitoto, kwa hiyo we umefurahia hill jambo? Nadhani ungekuwa unaishi huko iramba, na mama yako pia Dada zako wangekuwa wanasubiri kuteka hayo maji wala usingejibu hivyo ulivyojibu
  4. pepim

    JamiiForums Tanzania Kauli mbiu "Hapa kazi tu" na uwezo binafsi wa Mgombea urais wa CCM Dk. Magufuli

    Yaani hujui kama umeme na kilimo vina uhusiano? Fikiria kwa undani sana, utagundua umeme unahusika vipi. Pia jiuluze, pembejeo zake zinapatikana vipi? Na hayo mazao ya shambani ili yapande thamani hupelekwa wapi? Nakushauri futa kauli yako na wala usiishi kwa kukariri.
  5. pepim

    JamiiForums Tanzania ITV, hii ya leo ni taarifa ya habari au kampeni ya UKAWA?

    Kama hujaridhika angalia staccm na tbccm, utaridhika sana
  6. pepim

    JamiiForums Tanzania Hatimaye bodaboda wagoma kuburuzwa

    Kichwa cha habari na ulichokiandika hakuna uhusiano hata kidogo. Nimepata mashaka ya upeo wako
  7. pepim

    JamiiForums Tanzania Kati ya sentensi zifuatazo, ipi sahihi?

    Zote ni sahihi, ila zimeandikwa katika maumbo tofautitofauti. Ya kwanza, neno mwona limeandikwa katika umbo la ndani, na neno muona limeandikwa katika umbo la nje
  8. pepim

    JamiiForums Tanzania Ni nini maana ya usemi huu?

    Naomba kujuzwa maana ya usemi , SOTEA GOMBA. Karibu kwa majadiliano
  9. pepim

    JamiiForums Tanzania Wapumbavu Wenzangu Hamjambo?

    Dah, malofa 2po wengi sana. Ukitaka kumuona m2 mzima anajisaidia kwenye poti. Subiri oct 2015
  10. pepim

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Mbona umejaa mapovu. Kila m2 ana haki ya kuanzisha uzi humu jukwaani
  11. pepim

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Pamenoga sana, pamekaa vizuri. Ha ha ha ha ha, taarabu imenoga sana
  12. pepim

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Eti Profesa. Chikwete bwana. HAPENDI RAISI MASKINI
  13. pepim

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Mzee mkapa hapo ni ulimi uliteleza au ulidhamiria? Heshima huifadhiwa miaka tele lakini huweza potea kwa sekunde chache usipokua makini..Pole baba, pole sana yawezekana ulikengeuka
  14. pepim

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    r.i.p chichiem.
  15. pepim

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Waacheni wapige kelele weeeee, wakinyamaza tu kombe lipo darajani
Back
Top Bottom