rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,442
Yaani mkutano wa Bagamoyo wa Babu Duni na wenzake umeonyeshwa kwa muda mreefu kama ni kipindi maalum! Yaani kila aliyepiga kampeni ameongea kwa muda mrefu kadri awezavyo wakiwa wanamkampenia Lowassa wakati habari za vyama vingine zikionyeshwa kwa mkato sana bila hata kuipata meseji za wagombea kwa umakini! Hii maana yake nini?