Hujawah kuckia matukio ya watu wamejirusha kwenye maji YouTube zipo wengi wanakua wamedhamiria kujiua kwa stress zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiangalie uzuri wa nje angalia km ana tabia za kuridhisha nenda nae na umfanye binti unaempenda hajui kuvaa mfundishe mpeleke salone hivyo yani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulete marejesho huku ukifankiwa kuyajenga fanya hivo mfate anapoish omba samahan na umthibitishie kua umemuacha huyo Pisi mwengne heri ajue ukweli akusamehe klko akusamehe then awe na mashaka na majbu yako
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.