Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani

Itapendeza serikali ikijichunguza ilipokosea... Lazima kuna sababu ya msingi watu wanaona bora kujitibu wenyewe kuliko hospitali.
 
ubaki ufe..bora ukajitibu kwa namna ambayo unaijua mwenyewe ..huduma zenyewe mbovu za afya nchini , hela mlikua mnanunua ndege, acheni ndege sasa ziondoe kolona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sophia simba anaficha ukweli
Ukweli ni huu hapa
Jana kuna mwanamke amefariki katika wodi ya corona

Madaktari na wauguzi awataki kuchukua ile maiti
Maiti imeshinda wodini kutwa nzima ya jana
Ikabidi wagonjwa wakaichukua ile maiti mbaka ofisi ya madaktari
Wakasema wagonjwa kama nyie Mnaona kukaa na maiti sio kesi kaeni nayo nyie

Madaktari, manesi na wauguzi pamoja na mapolisi wote kwa pamoja wakatoka nduli kila mtu na njia yake

Ndio sasa vurugu zikaanzia hapo wagonjwa wakavunja mageti wakarusha mawe

Kufika usiku ndio huduma zikarejea na wagonjwa wakaombwa msamaha
Hiyo ndio hali halisi ya Amana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujifukiza kunahusika hapo, Muda sio mrefu mabeseni na masufuria yataadimika, Hii nchi itageuka ya kichekesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu mzee tujifukize
tapatalk_1587594727720.jpg
 
Back
Top Bottom