Recent content by PEDE

  1. P

    GE2010 Justification for establishment of an independent national election commission

    Yes,"I too belive this is possible befare 2015"
  2. P

    Dr. Slaa ni mbabaishaji na hafai kuwa kiongozi ?

    Naungana na wewe Bw.Magobe T, Siku zote walio wachache ndio wanopata uwezo wa kuwatoa wengi wasio na uelewa au larama ya utambuzi. Hivyo ndivyo nionavyo kwa Slaa na waTZ wengi wasio na elimu ya kutosha na utashi wa kisiasa/uraia. Nionavyo mimi ni kwamba umaarufu wa Dr.Slaa umeongezeka...
  3. P

    GE2010 Gari ya Jakaya Kikwete

    Jamani tunaongelea magari? Me nadhani kuna mambo muhimu zaidi kwa nchi hii na watu wake masikini kuliko aina ya gari linalotumiwa na rais. Watanzania wangapi wanatumia magari ya kawaida na maisha yanaenda vizuri,hawafi wala kuugua mushindwa kutimiza majukumu yao,tena katika mzingira magumu...
  4. P

    GE2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

    Mahanga kura 43,000+ Uncle Fred kura 39,000+ Source:Clouds FM (Bonge Mtaani) Nina wasiwasi kama hawajachakachua!!
  5. P

    GE2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

    Umesahau mengi tu kaka; -Maswa Mash-CHADEMA -Maswa Mgh-CHADEMA -Meatu-CHADEMA
  6. P

    GE2010 CONFIRMED: Idd Azani alitetea jimbo la Kinondoni

    Tunahitaji sura mpya mjengoni!
  7. P

    GE2010 Jimbo la Igalula lachukuliwa na CHADEMA

    Nafurahi lakini sina uhakika;Data!!
  8. P

    GE2010 Mponda ashinda Ulanga Magharibi

    Taja vyama jombaa,niaje!!!?
  9. P

    GE2010 FFU wachelewa Anatoglo...

    Tunaisubiri kwa uchu kubwa hiyo nyuzi toka segerea.
  10. P

    GE2010 CONFIRMED: Mzee wa 'Vijisenti" Chenge ashinda

    Bariadi ni majirani zangu jamani,Wadhungu wanaita walking distance. Nimeongea na chanzo cha kuaminika ni kwamba wameweka makompyuta pembeni wanahesabu kura kwa mkono. Uwezekano ni jioni hii matokeo kuwa OUT. Tuache uzushi jamani,moyo ni kiungo nyeti sana!
  11. P

    GE2010 CCM yakiri kupoteza viti 51

    Makamba Pumba tupu,hakuna atakayemsikiliza.
  12. P

    GE2010 FAKE: CHADEMA walichukua jimbo la Mbeya vijijini

    Haki ya Mbongo Binti Mohamed wa Saudi Arabia!!!!
  13. P

    GE2010 Karagwe: Matokeo kutangazwa?

    Sehemu nyingi watu walikuwa wanashangilia walkidhani wameshinda pia lkn hali haikuwa hivyo-uchakachuaji;Tunarushana roho-wengine tuna midadi ya kushangilia tusijeonekana wehu baadae.
  14. P

    GE2010 Mbona walitaka sisi tukubali matokeo na wao sasa wanagoma?

    Ni kweli ukizoea cha Kunyonga cha kuchinja kutakiweza. Kuanzia sasaivi ni mwendo wa vya kuchinja tu,hakuna kunyonga tena.Tuone kama watakwenda kwa style yetu. Swain-Swandaladadae++!!
Back
Top Bottom