Elections 2010 Gari ya Jakaya Kikwete

Jamani tunaongelea magari?
Me nadhani kuna mambo muhimu zaidi kwa nchi hii na watu wake masikini kuliko aina ya gari linalotumiwa na rais.
Watanzania wangapi wanatumia magari ya kawaida na maisha yanaenda vizuri,hawafi wala kuugua mushindwa kutimiza majukumu yao,tena katika mzingira magumu kuliko ya rais?
Mimi naona tujadili masuala ya kimaendeleo kwa TZ,tuachane na MAGARI-Fikra za kifisadi (Material thing) badala ya wellfare ya waTZ maskini.
 
Kwanini wasinunue nyingine mbona nimeona new models za BMW nyingi pale?
Kumbuka Hammer haizidi USD 65,000 wakati zile BMW za kumwaga pale ni zaidi ya USD 100,000 each..

wangenunua nyingine si mngesema matumizi mambaya ya pesa aka ufisadi?. hivi binadamu tukoje??
 
I dont see an issue to be discussed here!

images

Google image, 2010

Bro. Issue ni kwamba JK ni Commander in chief, na hummer originally ni gari la kivita, na limekuwa likitumika siku za nyuma, Nissan Patrol si gari la kivita, hivyo haliwezi kuwa a symbol of commander in chief! JK alitakiwa kusimama kwenye hiyo gari hapo juu baada ya kutoa hizo mbwembwe za kijeshi!
 
wangenunua nyingine si mngesema matumizi mambaya ya pesa aka ufisadi?. hivi binadamu tukoje??

Kuna matumizi ya lazima na yasiyo ya lazima. Commander in chief kuwa kwenye Hummer ni matumizi ya lazima; Afisa elimu kutumia gari la mil. 200 wakati wanafunzi wanakaa chini au waalimu hawana nyumba bora si matumizi ya lazima!
 
vipi? Mnaanza kukuwadia biashara zenu za magari? Fikra za kifisadi? Kwa nini asingeingia na corola hizo pesa ziwape wananchi huduma?
 
Kuna matumizi ya lazima na yasiyo ya lazima. Commander in chief kuwa kwenye Hummer ni matumizi ya lazima; Afisa elimu kutumia gari la mil. 200 wakati wanafunzi wanakaa chini au waalimu hawana nyumba bora si matumizi ya lazima!

Inaonekana wewe ama uko kitengo cha manunuzi au unafikizia tenda ya kuuza hammer serikalini. Sasa unatafuta justification hapa ili ukaazishe hoja kwamba hata wasomi wa jf wameunga mkono. Hatutaki, hata zile gari zilizotumika ni za kifahari mno ukizingatia umaskini wa nchi
 
Ama kweli uchaguzi umekwisha!! Hii nayo ni issue!!!?:A S angry:
 
Huu ndio ule ufisadi Tunao uimba kila tunapoamka nahali inazidi ku mbaya kila leo

JAMANI WANA CCM

:director:UFISADI UMEZIDIIIIIIII.........!!!!!!!!!!!
 
utajuaje kama shehe Yahaya kamwambia atumie hiyooo - masharti mengine mnaweza kumuona rais wenu akitembee na ka corona ati si mchezo
 
Back
Top Bottom