Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule jamaa anayefanya propaganda hewa kwa JK kwa kujifanya haoni kama kuna kibano chochote mbele ya chama chake na JK wake kwa style ile ile ya jamaa aliyekuwa staa wa propaganda kwa Sadaam wakati wa vita ya ghuba aliyeitwa Al Shahaf, ambaye hata siku moja hakuwahi kukiri baghdad ilikuwa inatekwa, imejidhihirisha leo. kama kawaida yake na Kinana, kila CCM na JK wanapopata kibano, leo kwa mara ya kwanza amekiri kipigo deutche welle-radio ujerumani, kasema kichapo wanachopata wabunge na mawaziri wa JK ni kawaida ktk uchaguzi na hivyo wao wanayapokea na kukubali. ukweli ndio huo. wapo tayari sasa kupokea maumivu zaidi, hata JK inabidi alione hili, aanze kuungana na ustaarab kama wa Seif kule Zenj. aachane na akili za kizamani za uchakachuaji...Maana hiyo imeshakuwa style muflis na ita-backfire hakia nani!
nawasilisha
Chama kinapoteza jimbo pale inapokuwa inashikilia hilo jimbo. Huwezi kusema kuwa CCM imepoteza majimbo yote ya Pemba wakati hayo majimbo yamekuwa chini ya CUF tokea siasa za vyama vingi kurudishwa baada ya kupigwa marufuku na Nyerere. Majimbo ambayo yalikuwa chini ya CCM na kwenda upinzani hayazidi 20.
Wewe Kudadeki akili yako haifanyi kazi vizuri, ati unasema majimbo CCM yaliyopoteza hayazidi 20? ARE YOU MAD OR WHAT?