Recent content by peacy

  1. peacy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka tuachane na tayari nimekwishalipa mahari kwao na mipango ya ndoa ipo

    Pole sana kwa hayo ila Pia mshukuru sana Mungu amekuepusha na hilo janga hali ingekuwa mbaya zaidi huko kqenye ndoa
  2. peacy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I dedicated my Monday to read this beautiful story

    Tusaidie link
  3. peacy

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Unit 1 = 1663 Add 1% Ewura charge
  4. peacy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wako na kama umebahatika kupata watoto hao ndio ndugu wa kweli, hawa michepuko hawatakusaidia ukipata matatizo

    [emoji3][emoji846][emoji3]
  5. peacy

    JamiiForums Tanzania Fedha zinazotumwa kuja Tanzania na Watanzania waishio ughaibuni zinatarajiwa kupungua kwa asilimia 20 mwaka huu wa 2020 kutokana na corona

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. peacy

    JamiiForums Tanzania Aptitude test ya Alistair group

    Inatakiwa uwe na uwezo wa kufikiri haraka, alafu uwe na sehemu ambayo internet iko fasta, ikiwezekana tafuta mwingine awe karibu, nimefanya mwaka Jana ya Alistair Sent using Jamii Forums mobile app
  7. peacy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninahitaji mchumba wa kumuoa

    Huo ni ubaguzi sisi wenye certificate tutaolewa na nani? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. peacy

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Nimeishia kwenye neno "sight" Sent using Jamii Forums mobile app
  9. peacy

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Rais Magufuli aweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la Kigogo - Busisi

    Asante Sana Mheshimiwa Rais sisi Wana Mwanza tupo tayari kabisa kwa mabadiliko hayo!! Tulianzia kamanga, tukaja busisi na sasa umetupa daraja! Kwa jinsi unavyopiga kazi ikiwezekana hicho kipande Cha ziwa ukiminye kabisa kikutane na nchi kavu!! Ni hayo tu
  10. peacy

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuu ya JamiiForums

    Hapo Mimi sijaona mawaziri wa jukwaa mbalimbali ingepndeza sana
  11. peacy

    JamiiForums Tanzania Kikao changu na makampuni ya simu kuhusu kesi ya kuibiwa vifurushi

    Naomba Jambo hili lifanikiwe bado nina 1.5 gb na dakika kibao halafu eti kifurushi kinaisha saa 12 jion, sio fair kabisa
  12. peacy

    JamiiForums Tanzania Unatumia sabuni gani kuogea?

    Mimi Niko na Protex naikubali sana
  13. peacy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harmonize awakera Wakenya, afanya interview na wanahabari kwa dakika 3

    Poleni Sana wakenya
  14. peacy

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Amepotea kwa siku ngapi huyo Rais?
Back
Top Bottom