Jaman kama mnaweka vigezo ambavyo ki ukweli havieleweki ujue hata mtaan kwako hawakuelewi ndo maana umekosa wa kukuoa/kumuoa plz toeni ditels za kueleweka kama unaleta upuuz peleka kwenu kajipange vizur hii si sehemu ya umalaya pu__b_fu
Kuna siku girlfriend wangu alinipigia simu na kuniarifu kuwa yeye anaomba kuachana na mimi lakini kwakuwa tayari tuna mtoto nilitaka kujua sababu lakini hakunipa sababu yoyote baada ya kumbana sana ndipo akaamua kuahirisha wazo lake.Siku nyingine tena alirudia wazo lake lakini pia baada ya...
bado kitendawili kwetu lakini inahitaji mawazo ya kina na maamuzi ya kina tutulie na tufanye jambo la kueleweka badala ya kukaa na kuwalaumu viongozi wet ambao kimsingi wamekuwa hawatekelezi majukumu yao ipasavyo
Nashawishika kuuliza maswali mengi sana lakini kwa leo naomba tusaidiane kwa haya kuhusiana na nchi yetu kuwa ni kweli hatujui kabisa ni wapi tulipotoka na wapi tunaelekea na kama kweli hatujui kabisa nini cha kufanya kuhusiana na nchi yetu bado naitafuta TANZANIA iliyokuwa ikiheshemika kiasi...
Ukweli ni kuwa sikupata muda wa kusikiliza vikao vilivyoendelea bungeni hivi karibuni.Hasa kuhusiana na uundwaji wa sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii wastaafu wake kuchukua malipo yao baada ya kuifikisha umri wa miaka 54 na kuendelea plz yeyote alisikiliza naomba kwani mimi pia ni...
PCCZO ------DAR
majina kama hayo kwa nchi zao yana maana tofauti kabisa na ile ya hapa kwetu wakati sisi tunafikiria kuwa ni matusi wao yana maana nyingine
Kwa upande wangu hasa katika kipindi hiki tukielekea katika maadalizi ya katiba mpya ningeomba vyombo vya habari viandike au vitoe taqarifa sahihi na sio kupotosha watu kwani kwasasa imeonekana vinatoa taarifa zinazoonekana ni uchochezi wa watu hivyo kuhatarisha maisha ya wananchi kwa ujumla.Na...
Inavyofahamika ni kuwa wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya huteuliwa na Rais hii ina maana kuwa ni makada wa chama tawala na kama jibu ndio hilo hata mishahara yao ilitakiwa walipwe na chama tawala.Hivi karibuni nimesikia kuwa wakuu hawa mishahara yao hulipwa na serikali na kama jibu ndio basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.