Recent content by PCGAMES

  1. PCGAMES

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Matokeo yapatikane papo hapo, hoja zote ni za muhimu.
  2. PCGAMES

    JamiiForums Tanzania House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

    Kiwanja kipo Dar es Salaam, Goba Kibululu mtaa wa California Barabarani. Barabara ni ya lami. Ukubwa ni 1800sqm. 900,000,000/=TZS. Simu: 0765102244
  3. PCGAMES

    JamiiForums Tanzania Kitu Gani Hiki Kusheherekea Mauti?

    Kwa sababu viongozi siku hizi hawana uchungu na wananchi wao. sasa kwa nini wasisheherekee?
  4. PCGAMES

    JamiiForums Tanzania SPEEDAF Tanzania wanachukua mpaka siku saba kufanya clearence ya mizigo Tanzania, aibu hii

    Ni kweli speedaf wanachukua muda mrefu kufanya clearance na sijui ni kwa sababu gani!? Mzigo unaingia mapema nchini lakini unakaa muda mrefu kabla ya kumfikia mteja.
  5. PCGAMES

    JamiiForums Tanzania Kusema Ukweli Tendo la kutoa haja kubwa ni la aibu sana; ila ni kwa vile tu linafanywa na wote basi tunajifarijimo!!!

    Kuna muda nilikuwa nafikiria kama kungekuwa na jamii inayokunya na isitokunya hali ingekuwaje kwa wanaokunya!? Maana hivi tumetofautiana kwa rangi ya ngozi na muonekano lakini kuna watu wanajiona wako juu zaidi ya wengine.
  6. PCGAMES

    JamiiForums Tanzania Kuna maafa makubwa huko Israel!

    Badala ya kutulia wafaidi kuku na mema ya dunia ambayo ni mazuri wao kutwa kuuwana tu.
  7. PCGAMES

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kumbe Viongozi Yanga Wanatumika Kupoteza Ari ya Upinzani Dhidi ya CCM?

    Sio kweli Yanga anachagiza No Reform No Election
  8. PCGAMES

    JamiiForums Tanzania TFF tokeni zama za mawe za kati

    Tff na bodi ya ligi ya Tanzania wapo nyuma ya muda na ni slow leaner, wamekaa kizamani sana na hawaendani na mpira wa sasa. Inatakiwa waachie ngazi na wapewe wenye uwezo wa kisasa.
  9. PCGAMES

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa mwisho kwa CHADEMA: Wakati ni huu fanyeni haya kukomesha huu Uharamia ili usitokee tena na tujenge nchi mpya

    Duh hadi matusi tena! Sina uhakika na hilo ndio kwanza nasikia kwako. Vipi kuhusu hao wamagharibi wanavyoendelea kutuibia malighafi kwa mikataba ya ulaghai na pia wanazidi kudhoofisha uwezo wa waafrika kiuchumi katika nchi za afrika?
  10. PCGAMES

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa mwisho kwa CHADEMA: Wakati ni huu fanyeni haya kukomesha huu Uharamia ili usitokee tena na tujenge nchi mpya

    Wamagharibi ni waporaji hawatatusaidia chochote zaidi ya kuendelea kutupa umasikini zaidi. Udikteta wa Urusi na China ni mzuri na unawapa maisha mazuri wananchi wake. Tuwaige.
  11. PCGAMES

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa mwisho kwa CHADEMA: Wakati ni huu fanyeni haya kukomesha huu Uharamia ili usitokee tena na tujenge nchi mpya

    Kwa namna yoyote sijawahi kuwaamini wamagharibi, ni heri tufungamane na Urusi, China, N. Korea n.k.
  12. PCGAMES

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

    Prof na kiingereza wapi na wapi, watu wanakariri bila kuelewa.
  13. PCGAMES

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unataka Lissu anyongwe mpaka afe?

    Hawezi kufanya hivyo
  14. PCGAMES

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

    Bora hata upande usafiri wa umma, ni hatari sana.
  15. PCGAMES

    JamiiForums Tanzania Asilimia ya wanawake ambao wanakeketwa kwa nchi

    Nimeshangaa alafu somalia ni wazuri vile😱😱😱
Back
Top Bottom