Asilimia ya wanawake ambao wanakeketwa kwa nchi

Ninamiliki gari naweza kuitendea nitakavyo

Binadamu anamilikiwa?

Chesterton Fence ... I wonder ..

Sometimes I wore my shades on pretending that Idk anything deep down ... Aaargh

min -me

Gadeim
 
Aina za ukeketaji, kuna wanaoondoa kinembe/kisimi chote, wengine wanabakisha kiwe kidogo na wengine wao hucharanga kinembe. Kila kabila lina mtindo wake wa ukeketaji
Inatakiwa wapige panga waondoe kila kitu
 
Nimeanza kuwashtukia Wazungu . ..hii Kitu inaweza kuwa na Social advantage nyingi sana kuliko Health Advatage wanazotudanganya.

Ulaya Spain, France, Italy, Greece, USA ushoga, kinyume na maumbile na Usagaji ni balaa. Yaani % ni kubwa sana.

Lakini wanatwambia sisi kukeketa ni Dhambi wakati sio kweli
 
Imani potofu hizi.
Mkuu nikiangalia Jinsi Ushoga, mapenzi kinyume na maumbile na usagaji unavyopigiwa Promo huko kwa Wazungu, nitakuwa wa mwisho kwamba kukeketa na kuoa wanawake zaidi ya mmoja ni imani potofu. In fact we are on the right Track.

Watu huko kwa wazungu wanakulana inya kama hawana hakili nzuri iwe wanawake kwa wanaume ni balaa

Huu ushetani gani? Why wao waone ni sawa ila ya kwetu ni imani potofu na uonezi?
 
Mambo ya hovyo sana
Mimi sidhani kama ni ya hovyo, we are brain washed by White men ambao wao Wanadinyana wanaume kwa wanaume tena wazi wazi bila vificho.

Mkuu Unajua kuwa duniani kote Wanawake hawapendi kuingiliwa nyuma? Ispokuwa kampeni za wazungu ndio zinaforce wanawake wanaingia Mkenge.
 
Tatizo wasipokeketwa wanahangaika sana muda wote wanataka kukazwa
ubongo wa wengi waliozaliwa kwenye jamii za kukeketwa upo kama wewe. wanaamini mwanamke asiyekeketwa atakuwa malaya. hadi wasomi kabisa utindio wa ubongo wa namna hii haujawatoka. kwa ushauri, na experience ya maisha, kati ya wanawake wanaopata shida sana kuchagua wenza ni waliokeketwa, anaweza kumpenda mtu mno lakini hawezi kumkubali kuolewa naye kwa hofu atamshangaa kwasababu amekeketwa. wanalazimishwa kutafuta hadi wawapate watu waliotoka kwenye jamii zao jambo linalowaumiza sana na majority huwa wanachelewa sana kuolewa au wanakuwa masingle mother kwa sababu kwa jamii nyingi, huwezi kuishi na mwanamke aliyekeketwa wakati wasiokeketwa wapo. nawapa pole sana.
 
Unaelezea uhalisia ulivyo kwenye jamii au story za vitabu vya civics form 2 ?
 
Mkuu nikiangalia Jinsi Ushoga, mapenzi kinyume na maumbile na usagaji unavyopigiwa Promo huko kwa Wazungu, nitakuwa wa mwisho kwamba kukeketa na kuoa wanawake zaidi ya mmoja ni imani potofu. In fact we are on the right Track.

Watu huko kwa wazungu wanakulana inya kama hawana hakili nzuri iwe wanawake kwa wanaume ni balaa

Huu ushetani gani? Why wao waone ni sawa ila ya kwetu ni imani potofu na uonezi?
Imani potofu nimesema mimi,hao wazungu na uchoko wao wameshindikana,
siamini kwamba mwanamke akikatwa kinembe ndio hasikii nyege, hata kama ikawa kweli hasikii kwanini wamkate bila hiyari yake?
 
Mimi sidhani kama ni ya hovyo, we are brain washed by White men ambao wao Wanadinyana wanaume kwa wanaume tena wazi wazi bila vificho.

Mkuu Unajua kuwa duniani kote Wanawake hawapendi kuingiliwa nyuma? Ispokuwa kampeni za wazungu ndio zinaforce wanawake wanaingia Mkenge.
Uzi unahusu ukeketaji sio kuingiliwa nyuma!
Hata hivyo wazungu hawajawahi kuhamasisha watu waingiliane nyuma, mimi binafsi sijawahi kusikia wakiwahamasisha Waafrika hayo.
 
Mkuu nikiangalia Jinsi Ushoga, mapenzi kinyume na maumbile na usagaji unavyopigiwa Promo huko kwa Wazungu, nitakuwa wa mwisho kwamba kukeketa na kuoa wanawake zaidi ya mmoja ni imani potofu. In fact we are on the right Track.

Watu huko kwa wazungu wanakulana inya kama hawana hakili nzuri iwe wanawake kwa wanaume ni balaa

Huu ushetani gani? Why wao waone ni sawa ila ya kwetu ni imani potofu na uonezi?
Kuna mambo unachanganya,
Africa hata kabla ya ujio wa wazungu kuna jamii zilikuwa hazikeketi wala kutahiri wanaume, mfano wajaluo na jamii nyingi za Kusini hata wanaume walikuwa hawatahiri, wazungu ndio wamekuja kuhamasisha kukata magovi na kufadhili pia. Kiujuma jamii nyingi za Africa hazijawahi kuwa na utaratibu wa kukeketa wanawake.

Suala la kuoa wanawake wengi ni suala la kidini, sio la wazungu, Ukiwa muislamu hata mzungu unaoa wanawake wa idadi yoyote.
 
Back
Top Bottom