Bro kimsingi mimi binafsi huwa naelimika sana na makala zako za Jf. Nakushukuru kwa kujitoa kutuelimisha wengi wetu ambao hatuna karama kama yako. Asante sana. Natamani siku moja nikufahamu. [emoji16][emoji16][emoji122][emoji122]
Ya hovyo sana, nilikuwa nayo 2013 ilinizingua, haikubali huduma zote za (* service), mfano, mpesa, tigo pesa! Pia huwezi kupakua app kutoka nje ya "market place" yake km android. Yenyewe inatumia windows!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitabu kinaitwa "Africa World War" kimeandikwa na jamaa anaitwa Daniel Pruner. Ukisoma kile kitabu utakhbaliana na mleta mada hapo juu, huyo jamaa PK aliua wahutu wengi (post genocide cleansing) sana kuliko hata waliokufa wakati wa mauaji ya kimbari. Kale kanchi ni bomu linalosubiri...
Asante kwa kutuelimisha kaka, maana "mazwazwa" wa sheria tumejaa humu! Kazi kuchonga pasipokujua sheria inasemaje! Mihemko kibaoo utadhani chura katumbukia kwenye tanuri ya moto!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwa kambadilikia bosi wake! Bosi haamini anachokiona (anashangaa), mbwa aliyemfuga na kumfunga kamba shingoni na kumkokota kokote aendako amebadilika!!
Sent from my HTC Desire 816 dual sim using JamiiForums mobile app
PresidencyZ: RAIS ZUMA AMEREJEA TOKA ZIARA YENYE MAFANIKIO, JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Brendan Gutzein: MAFANIKIO GANI KWA NCHI YA HOVYO ILE, BADALA YA KUTAFUTA UHUSIANO NA NCHI ZA MAANA!
Kuna nyembe zinauza SH Amon Tsh 40,000/ zinaitwa "gillette fusion" ni nzuri sana! Paka shaving foam wakati wa kunyoa kisha baada ya kunyoa paka "after shave" inaitwa "bump patrol" uataona matokeo! Hizo nyembe waweza kutumia hadi miezi 4, na ukiisha unapachika mwingine! Hope it works out as it...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.