Hiki kibonzo cha King Kinya (The Citizen) kinamaanisha nini Chadema?

Hiki kibonzo cha King Kinya (The Citizen) kinamaanisha nini Chadema?

Mbwa kambadilikia bosi wake! Bosi haamini anachokiona (anashangaa), mbwa aliyemfuga na kumfunga kamba shingoni na kumkokota kokote aendako amebadilika!!

Sent from my HTC Desire 816 dual sim using JamiiForums mobile app
 
Akichorwaga Magu na yule mwehu anayeitwa Gado sijui chadema mnashangilia. Sasa zamu ya kuwachora UKWAWA

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
NI YA KWELI HAYA?
Kulikoni? Hebu tujuzane wanabodi!

19989691_1534439059951610_2790159782078668217_n.jpg
 
Hiyo kamba imekazwa sana shingoni, kaumbwa hakataki tena mazoea na bosi wake
 
Chadema iko juu na ndomana wanawasumbwa na bado

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Chadema wasipoweka mikakati mizuri watafia pa bapaya halima mdee, abadilishe style yake ya propaganda ,tundu lissu apungunguze double standard,.. Mbowe aache ubinafsi wakutowajali viongozi wa chini hasa madiwani,... Wasiwakwaze CUF,watumie strategy mpya kudeal na CCM, watumie strategy ya kuleta hoja za kuichallenge lakin sio kutengeneza uhasama,.. Ni ayo tu kama mnasikia, la sivyo ACT itawapiku
 
Kwa Chadema hii, thubutuuuu!
 
Back
Top Bottom