Kicheko Ni Afya, Njoo Uondoe Stress Hapa Muhimu Kwa Afya Yako

Archimedes principles
"When a body is totally or partially immersed in a fluid it will experience on which upthrust is equal to the weight of the fluid displaced"
Bora tu tuendelee kwa kimombo
bora tuendelee na rugha ya taifa ila "ugili-gili" ni tatizo
 
Tutafsirie jaman
Wengne kiinglish hatukijui
PresidencyZ: RAIS ZUMA AMEREJEA TOKA ZIARA YENYE MAFANIKIO, JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Brendan Gutzein: MAFANIKIO GANI KWA NCHI YA HOVYO ILE, BADALA YA KUTAFUTA UHUSIANO NA NCHI ZA MAANA!
 
we kiboko kama si Mamba. Ila fanya backup kabla kirusi cha wannacrypt hakija tuondolea utamu wa picha picha zako
 
Juzijuzi tumeshuhudia wapendwa wetu maraisi wa Tanzania na South Africa wakitiliana saini makubaliano kadhaa juu ya ushirikiano katika nyanja mbalimbali ikiwemo nyanja ya biashara.

Waandishi walifika mbali zaidi hadi kutuweka wazi juu ya urafiki wetu toka enzi za waasisi wa mataifa hata mawili tajiri Africa.

1494750899117.jpg


Tulioneshwa mpaka mfanano wa nyimbo zetu za taifa ikionekana South Aftika kama ime-opt nyimbo kwetu ili kukuza ukaribu na umoja wetu.

Kilichonishangaza ni hii comment ya huyu jamaa juu ya ziara ya raisi Jacob Zuma nchini Tanzania.Hebu ipitie uone hii si dharau iliyopitiliza kwa hawa ndugu zetu wadamu?
 
Back
Top Bottom