Recent content by pavel

  1. pavel

    JamiiForums Tanzania Eti wadau kuna biashara ya kukodisha concrete mixer na ikafanya vizuri?

    currently, zinakodishwa 300k per day, Asphalt cutter 250k per day, mguu wa jini 150-170k per day. Ni uwekezaji mzuri, ila unakuhitaji uwe na kijana mwaminifu awe operator wako, na uwe nao kadhaa ikitokea zimekoshwa kwenda sehem tofauti
  2. pavel

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere hakuona kazi kujiuzulu

    Nyerere hakuwa fisadi wa pesa, ila alikuwa fisadi wa madaraka. Kwa katiba hii aliyotuachia inathibiyisha Hilo. Mzee alikuwa na katamaa Fulani hv, ata kukaa mdarakani miaka 20+ inaonesha tamaa zake. Ni mfano wa viongozi waliokuwa na maneno mengi bila vitendo.
  3. pavel

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nadhani timu zinapark basi wakichezi na sisi kwasabb wameshaona weakness yetu ni kulifungua basi na kupata goli. So ni njia moja wapo ya kumzuia Arsenal. Tukicheza na team zinazoplace high na kucheza kama Bayern Huwa tunazifunya sio kwa ugumu saana kama hz zinazoaprk.
  4. pavel

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea Tanzania

    Mzee kipele kinawasha? Acha usese, huyo mama kaua ndugu zetu, kawazika bila staha. Hakuna atakachofnya tukamuelewa, kama umekunwa na ulajisikia vzuri kaa kimya.
  5. pavel

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea Tanzania

    Mzee kipele kinawasha? Acha usese, huyo mama kaua ndugu zetu, kawazika bila staha. Hakuna atakachofnya tukamuelewa, kama umekunwa na ulajisikia vzuri kaa kimya.
  6. pavel

    JamiiForums Tanzania Nimekaa Leo nimemsikiliza mzee Warioba kwa umakini, huyu mzee hafai kabisa!

    Unawashwa kaka, Kuwa makin na fikra zako mkuu, inaonekana hautumii akili vizuri, Umejuaje kama alienda kuongea nae hayo uliyoyasema?
  7. pavel

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuibuka mabingwa wa AFCON 2025

    Tanzania anaweza asipate ata on target kwenye haya mashindano.
  8. pavel

    JamiiForums Tanzania Naiombea Taifa stars ifungwe goli 3 na kuendelea .Asante

    Apigwe ata 7
  9. pavel

    JamiiForums Tanzania Kulikoni CCM na Serikali kutokutoa mkono wa pole kwa Polisi na wananchi waliofariki katika vurugu za Oktoba 29?

    Wao ndio walioua ndugu zetu, wamefurahia nadhani ndio maana wapo kimya.
  10. pavel

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

    Mpiga debe
  11. pavel

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

  12. pavel

    JamiiForums Tanzania Hivi Samia, Lissu amekukosea nini?

    UMENENA VYEMA mkuu, Lissu namfananisha sana Patrice Lumumba.., yan ni copy yake kabisa, kwake nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe hakuna udhurungi
  13. pavel

    JamiiForums Tanzania Vituko AFCON: Timu ya Cameroon yaita vikosi viwili tofauti, kimoja cha kocha aliyetimuliwa, kingine kaita Etoo kama Rais wa Shirikisho

    Etoo ni mjuaji, hili ndio linawacost waafrika wengi. Wanaopata nafasi za maamuzi wengi ni wajuaji, kama Karia.. hawaambiliki wao ndio Kila kitu, inawezekana vipi ???
  14. pavel

    JamiiForums Tanzania Fundi wa mashimo ya kisasa yasiyojaa

    Ghalama zake ziko v
Back
Top Bottom