Iwapo atasimamia uzalendo na kuthamini Nchi kwanza tunaweza kupata angalao katiba bora.Lakini kama ataogopa na kusimamia msimamo wa chama chake hakika katiba mpya itakuwa na mrengo wa kichama zaidi badala ya katiba ya wananchi wa Tanzania.
Watanzania kama tunataka muungano wetu uwe mzuri ni kuwa na serikali moja tu, katiba ya Zanzibar na Tanganyika ziwekwe kwenye droo na uwepo mkoa wa zanzibar na Pemba na hii mikoa ya bara watakuwepo magavana,Rais wa Tanzania akitoka bara makamu wake awe zanzibar kama Rais ni mzanzibar makamu ni...
Hata kama wamekuletea fuvu la mtu kwa ajili ya njaa zao napo utii kubabikiwa kesi? Je mbona hujasema polisi wala rushwa na magendo tukiwabaini mitaani nao washushiwe kipigo?? Wallah huna nia njema na Nchi, usione vyama vya upinzani tu.Tafakari kwa kina zaidi kauli yako.
Mtatizo waliyonayo wabunge wa ccm ni kuiogopa serikali yao kuiumbua, na kupelekea mambo mengi wanapoyaona hayaendi vizuri serikalini, wapo tayari hoja hiyo kumpa mbunge wa upinzani aiseme bungeni. Kisa ni kuogopa kuhojiwa na chama kwa kidhalilisha serikali,
Usistajabu na hilo, wasomi wetu wa sasa hivi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kwasababu anguko la elimu ni la muda mrefu, hivyo wengi walio vyuoni ni wale ushindi wao ni wa kuungaunga.
Wameshindwa kutanabaisha maisha ya dhiki waliyonayo wazazi wao huko vijijini kwa sera mbovu za chama cha zamani...
Wako wengi hao, ambao huachwa solemba siku moja.
Ni dhahili kupenda ni upofu,na mapenzi ya pesa siyo mapenzi ya dhati, pamoja na kumsomesha dada huyu lakini naye alikuwa na mtazamo wa kuolewa na msomi,maana huyu wa pesa ni ushamba na ulimbukeni wa pesa zisizo na jasho ndiyo anadiriki kufanya...
kinachotakiwa hapa ni mabadiliko tu, kama wewe na chama chako ccm kungekuwa na sera safi tusingefika hapa tulipo kwa Nchi kuwa maskini kiasi hiki, ujinga kuongezeka, Afya ndiyo kabisa ni mgogoro.
kwanini sisi wananchi tusihitaji mabadiliko ya uongozi mwingine! kwani ccm iliumbwa kutawala milele?
Nchi hii ni ya dili, wenye Mahotel ktk maeneo yaliyotangazwa na Sumatra wamecheza dili ili vipato viongezeke mfano Bus za Dar-Mza ni 10 kila kituo cha Hotel au choo cha kulipia @200mapato yataongezeka na watakao kula chakula nao watakuwa wengi, hii ni akili mkichwa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.