Recent content by paul john kalunga

  1. P

    JamiiForums Tanzania Utata Kuhusu Kesi ya Kubenea, TLS

    Ni hali tata sana kuwapa mamlaka wanasiasa kusimamia jambo la katiba ambalo linagusa uhai wa wananchi kwa miaka 50 ijayo,je wasomi waliosomea maswala ya kutunga sheria na katiba hatuna.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

    Chadema tunaitaji viongozi makini ambao wapo kwaajili ya maslai ya wananchi na sioviongozi we ye uroho wa madaraka.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tuchambane hapa

    Kichwa kama kofolonzeo
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kwa alama hizi naweza kusoma udakitari ?

    Kiroho safi kk endelea tu na kilimo na ufugaji kwasababu kinatoa sana.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Elimu ya bongo kiloko mchoko tu..... ......
  6. P

    JamiiForums Tanzania Swali: Kuna Mawakili/Wanasheria ambao sio Wasomi?

    Sio kila mwanasheria ana taaluma ya sheria wapo wanasheria wengi tu hawajui kutafsiri sheria
  7. P

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kunyonga hadi kufa imepitwa na wakati?

    Adhabu ya kunyongwa ni matunda ya mtu aliye vunja she ria ya mauaji.she ria IPO ili ifuatwe so vyombo vya kusimamia khaki vifuatwe na hekima pia itumike
Back
Top Bottom