Tuchambane hapa

Tuchambane hapa

Kitovu kama malikia wa mchwa
Sura kama bedford

images
 
Nyumbani kwenu wanawake wooote ni mahausigel.. we nae ulipofika chuo kikuu ukalazimisha kusomea housege management..

twende..

Ha ha ha ha ha imekaa njma sana hii
 
Tumbo kubwa kula kwa majirani,Domo pana chapati hukunji
 
Miguuu inavigimbi kama unatenda ya kuchota maji kwa kichwa kupeleka kilele cha mlima kilimanjaro.
 
una miguu miembamba kama miwa ya mtibwa sugar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom