paul john kalunga
Member
- Aug 24, 2014
- 8
- 0
Ni hali tata sana kuwapa mamlaka wanasiasa kusimamia jambo la katiba ambalo linagusa uhai wa wananchi kwa miaka 50 ijayo,je wasomi waliosomea maswala ya kutunga sheria na katiba hatuna.
Nini kilikufanya ukafukuzwa umod hapa JF?
Mkuu ungenyamaza ungefanya la maana sana kuliko kuongelea jambo usilolijua!BREAK EVEN POINT. Unapokula muwa unaangalia utamu, ukimaliza utamu tupa bua. Ukitafuna Big G, ukimaliza utamu tema masalia hayana faida tena kuendelea kukaa nayo. Ukiajiri mfanyakazi ukakosa kuona tija yake na au ishara angalau ishara kwamba baadae atajifunza, dispose. Extract value and evaluate daily on use. Kuna wakati receptionist wako anaweza kuwa sababu ya kukimbiza wateja wako kama utang'ang'ania kubaki naye ilhali kuwapo kwake hapo ni kikwazo kwao. Hayo ni mawazo yangu kujaribu kutafuta majibu.
Kwa hiyo wanasiasa hakuna wasomi? Pia, Je, wanasiasa sio "wananchi?"Ni hali tata sana kuwapa mamlaka wanasiasa kusimamia jambo la katiba ambalo linagusa uhai wa wananchi kwa miaka 50 ijayo,je wasomi waliosomea maswala ya kutunga sheria na katiba hatuna.
Hivi mtu akifungua kesi chini Ibara ya 26(2) ya katiba mlalamikiwa anakuwa nani?
Sijawahi kuona kesi umefunguliwa dhidi ya bunge. Kama ipo nifahamishwe.
Hata kama AG asingeunganishwa katika kesi hizo, bado katiba inampa haki ya kuhudhuria na kusikiliza kesi katika Mahakama zote nchini.
Kwa mfano, kwenye kesi zai uchaguzi, kwa nini AG huwa anaunganishwa?
Hivi kweli watu wengi hivi hawajui maana ya kushitakiwa serikali kwenye jambo hili? very sad.
Wengi wanalilalamikia Bunge Maalum la Katiba kuwa limeacha kujadili Rasimu ya Warioba na linajadili "Rasimu ya CCM!"
Well, tulitegemea basi kesi dhidi ya Bunge Maalum la Katiba ifunguliwe Mahakama Kuu lakini badala yake inashtakiwa Serikali, kupitia Attorney General, ambayo kimsingi haihusiki.
Ni vizuri AG akaachwa na Badala yake awekwe Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, otherwise hizi kesi 2 zitashindwa vibaya.
Umekera sana nimeshindwa kuvumilia kuendelea kunyamaza. Namna hii nimedhani nitakuwa nimekusaidia ujitambue kwamba binadamu wote ni sawa kwa maana ya mahitaji ya lazima : heshima mbele kwa wenzio, iwe unawajua au huwajui. Kwani huenda unayemwambia vibaya upo chumba kimoja naye ingawa mnatumia majina feki.Mkuu ungenyamaza ungefanya la maana sana kuliko kuongelea jambo usilolijua!