Recent content by paul..com

  1. P

    JamiiForums Tanzania UKAWA nendeni Mahakamani kesho 15/10/2015

    Lowasa wakati anaanza kampeni alisema tupige kula twende mengine tumwachie yeye sasa kageuka anaona atapigwa chini
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kwa mikoa hii Tisa Lowassa anaingia Ikulu

    Hayo ni mawazo yako
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ahadi za Rais Joseph Pombe Magufuli awamu ya tano, 2015 hadi 2020

    Hawa ni watu wa ukawa wajue hawawezi kuchukua nchi hata waseme je kula ni kwa magufuli
  4. P

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa akumbwa na mkasa

    Wako wapi waadilifu pesa za luzuku v ni shidaaa
  5. P

    JamiiForums Tanzania Wanasoka wasema Kura zao wanampa Magufuli

    Kelele za nini matusi ya nini subilini tar25 kula hukomesha mashindano
  6. P

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Lowassa kujiunga CHADEMA

    Mnajidanganya sana kujaza watu ndio ushindi? Hukuona lowasa alikuwa akijaza watu wakati anatafuta wadhamini akiwa ccm lakini mwisho wote akaangukia pua ndivyo itakavyotokea tr25
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Hivi mbona hamuelewi vipi ninyi watu mnapoteza kura zenu kwa huyo mpe mchapa kazi
  8. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kumburuza Dk. Magufuli kortini

    Hata lowasa anatumia aleselema ya magufuli
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kwa ahadi hizi za CCM 2016 Tanzania itakua zaidi ya Marekani kiuchumi

    Hayo ni yako umeyaonqeza mana huipendi ccm ss tunampa tuu huuyo
  10. P

    JamiiForums Tanzania Magufuli aahidi kugawa hela kila kijiji, kila mtaai

    Anayosema ni kweli atawabana mafisadi hawataiba pesa itakuwepo
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kingwendu ndio chaguo la Kisarawe

    Bunge la kutunga sheria na kuisimamia serkali wakiingia wachekeshaji kama hawa sijui
  12. P

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni bora kuliko wagombea wote wa urais

    Lowasa sio bora hata wizara yoyote kwa nini apewe nchi wakati hana uwezo pote alipopita ameacha tuhuma za pesa yeye macho yake ni kuangalia ziko wapi pesa
  13. P

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mfumo Utakao Muendesha Lowassa Ni Hatari Kuliko Mfumo Utakaomuendesha Magufuli

    Ukawa ni watu na watu ndio hao wabovu
Back
Top Bottom