Matokeo ya Lowassa kujiunga CHADEMA

Matokeo ya Lowassa kujiunga CHADEMA

MATOKEO YA LOWASSA KUJIUNGA CHADEMA
1. JAMES MBATIA amekuwa mwanachama na mdau wa CHADEMA kuliko NCCR MAGEUZI
2. FREDRICK SUMAYE amekuwa muhimu UKAWA kuliko wanachama wa CHADEMA, NCCR, CUF na NLD walioanzisha UKAWA
3. Viongozi wa upinzani wameporomoka kifikra kabisa wapo tayari kukana hata majina yao kumfurahisha LOWASSA
4. Vijana wa UKAWA wamekuwa mafundi wa kufanya editing ya picha fake kupotosha umma kwa uongo kutafuta huruma kwa umma
5. GODLESS LEMA amepunguza tabia ya kuundaa mipango ya kujiteka ili aseme mafisadi wanataka kumuua
6. CUF imebaki zanzibar tu huku Bara hata jina tunaanza kulisahau kabisa
7. Vijana na viongozi wa UKAWA wanampenda na kumuabudu LOWASSA kuliko hata Mungu wao, kubwa kuliko wengine wapo tayari kusema kijani ni njano kumfurahisha mzee
8. Mke wa LOWASSA yaani Regina LOWASSA amekuwa mwenyekiti wa BAWACHA taifa HALIMA MDEE amekuwa mbeba ma file wa REGINA LOWASSA.
9. Wapinzani Tanzania wamekuwa waigizaji wazuri kuliko hata wasanii wetu wa bongo movies.
10. Wapinzani wanalipa vizuri posho Wajumbe angalau watanzania tumesahau mikuki ya vijana wa UKAWA siku hizi nao bia wananua

Matokeo mengne ni familia ya mchepuko wangu walikua 9 wote wameamia CCM baada ya lowassa kwenda UKAWA
 
BAADA TU YA LOWASSA KUJIUNGA NA CHADEMA NA UKAWA!!
i. CCM imekumbwa na misukosuko ya ndani kwa kuwa na mpasuko mkubwa na wa kutisha
ii.CCM imekumbwa na kiwewe kiasi kwamba mikutano yao inajaza wasanii wa maigizo na muziki kwa ajili ya kuvutia watu
iii.Watu wengi wanakula CCM mchana,usiku wanapanga mikakati ya kura usiku.
iv.Kamati ya Kampeni imepasuka vipandvipand kwa kutokuaminiana
v.CCM inatumia mbinu chafu za goli la mkono lakini zimekwishagundulika
vi.CCM imeishiwa sera na sasa wagombea walioshiba wanapiga "push up" mbele ya wanachi wenye njaa.
vii.CCM imefikia hatua ya kuiga mambo ambayo yamekuwa ni ajenda kuu za upinzani pamoja na nembo na kauli mbiu.
viii.Mgombea wa Urais wa CCM amekuwa akilalamikia na kuishutumu Serikali ya chama chake kana kwamba yeye ni mgombea huru asiyetokana na chama hicho.
ix. Rais wa JMT pamoja na kuvunja Bunge lakini amewaacha Mawaziri wakipita huku na kule wakifanya kazi za kukipigia cha ma cha Mapinduzi Kampeni ilhali walikuwa Ofisini kwa miaka 10 mfululizo.
x. Katika kipindi hiki cha Kampeni ubadhilifu wa mali za Umma unafanyika katika maeneo nyeti kwa lengo la kujipatia fedha za Kampeni na zile za kujaza matumbu ya wachache!!

AMINI USIAMINI: CCM ipo katika hatua za MWISHO za Uhai wake Tanzania.Punde itaungana na Vyama vikongwe ambavyo tayari vimekwisha ondoka madarakani!!
CHAGUA LOWASSA!!CHAGUA CHADEMA,CHAGUA MADIWANI WA UKAWA!!
 
MATOKEO YA LOWASSA KUJIUNGA CHADEMA
1. JAMES MBATIA amekuwa mwanachama na mdau wa CHADEMA kuliko NCCR MAGEUZI
2. FREDRICK SUMAYE amekuwa muhimu UKAWA kuliko wanachama wa CHADEMA, NCCR, CUF na NLD walioanzisha UKAWA
3. Viongozi wa upinzani wameporomoka kifikra kabisa wapo tayari kukana hata majina yao kumfurahisha LOWASSA
4. Vijana wa UKAWA wamekuwa mafundi wa kufanya editing ya picha fake kupotosha umma kwa uongo kutafuta huruma kwa umma
5. GODLESS LEMA amepunguza tabia ya kuundaa mipango ya kujiteka ili aseme mafisadi wanataka kumuua
6. CUF imebaki zanzibar tu huku Bara hata jina tunaanza kulisahau kabisa
7. Vijana na viongozi wa UKAWA wanampenda na kumuabudu LOWASSA kuliko hata Mungu wao, kubwa kuliko wengine wapo tayari kusema kijani ni njano kumfurahisha mzee
8. Mke wa LOWASSA yaani Regina LOWASSA amekuwa mwenyekiti wa BAWACHA taifa HALIMA MDEE amekuwa mbeba ma file wa REGINA LOWASSA.
9. Wapinzani Tanzania wamekuwa waigizaji wazuri kuliko hata wasanii wetu wa bongo movies.
10. Wapinzani wanalipa vizuri posho Wajumbe angalau watanzania tumesahau mikuki ya vijana wa UKAWA siku hizi nao bia wananua[/QUOTE

Umetiiiisha mkuu ...wamebaki kuanzisha threads nyingi hapa Jf, ila wanaumia kwasababu wanaona nazo hatuzisomi badala yake tunawaacha wenyewe waendelee na mazingaombwe
 
Dalili za kila siku chama dola.kumuongelea lowasa ni dhaili shairi kuwa wanamuogopa , sasa hv ccm ndo wamekuwa walalamishi kwenye majukwaa kama cha.upinzan vile CHANCE IS UNESCAPABLE
 
DAAH jamaa wewe unaona mambo kwa upana na urefuu

11. Kila mara wanamuimbia mfalume nyimbo ili afurahi.Mabadilikoooo lowasaaa,,,lowasaaa...hata CHADEMA nafutika mdogo mdogo
 
Sikuwahi kuota upinzani unaweza kufanya makosa makubwa namna hii. Mpaka leo sijapata kujua ni nini kinachowaunganisha upinzani na,chadema.

matokeo ya lowassa kujiunga chadema
1. James mbatia amekuwa mwanachama na mdau wa chadema kuliko nccr mageuzi
2. Fredrick sumaye amekuwa muhimu ukawa kuliko wanachama wa chadema, nccr, cuf na nld walioanzisha ukawa
3. Viongozi wa upinzani wameporomoka kifikra kabisa wapo tayari kukana hata majina yao kumfurahisha lowassa
4. Vijana wa ukawa wamekuwa mafundi wa kufanya editing ya picha fake kupotosha umma kwa uongo kutafuta huruma kwa umma
5. Godless lema amepunguza tabia ya kuundaa mipango ya kujiteka ili aseme mafisadi wanataka kumuua
6. Cuf imebaki zanzibar tu huku bara hata jina tunaanza kulisahau kabisa
7. Vijana na viongozi wa ukawa wanampenda na kumuabudu lowassa kuliko hata mungu wao, kubwa kuliko wengine wapo tayari kusema kijani ni njano kumfurahisha mzee
8. Mke wa lowassa yaani regina lowassa amekuwa mwenyekiti wa bawacha taifa halima mdee amekuwa mbeba ma file wa regina lowassa.
9. Wapinzani tanzania wamekuwa waigizaji wazuri kuliko hata wasanii wetu wa bongo movies.
10. Wapinzani wanalipa vizuri posho wajumbe angalau watanzania tumesahau mikuki ya vijana wa ukawa siku hizi nao bia wananua
 
Mnajidanganya sana kujaza watu ndio ushindi? Hukuona lowasa alikuwa akijaza watu wakati anatafuta wadhamini akiwa ccm lakini mwisho wote akaangukia pua ndivyo itakavyotokea tr25
 
Back
Top Bottom