Kwa mikoa hii Tisa Lowassa anaingia Ikulu

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,446
Mikoa hiyo Ni Dar es Salaam,Mbeya,Mwanza,Arusha,Morogoro,Tanga,Kagera,Tabora na Dodoma

Chanzo: Mwananchi
 
Attachments

  • 1444890592508.jpg
    1444890592508.jpg
    78.9 KB · Views: 2,579
Mikoa hiyo Ni Dar es Salaam.. Mbeya... Mwanza... Arusha.. Morogoro.. Tanga.. Kagera.. Tabora na Dodoma

Source :Mwananchi

tupeni statistical data ambazo ziko very vivid kuwa hiyo mikoa yote tajwa hapo juu wananchi wake ni wana ukawa tu pekee na hakuna wana ccm wowote huko. tuache kufikiria kiuenyeji / kiuchawi kama siyo kishirikina au kutumika kisiaa na badala yake let us be too scientific. mwanachi niliowajua kwa miaka 7 iliyopita siyo mwanachi hii niliyoiona kuanzia mwezi march hadi sasa au leo 15, october 2015 na nisifiche kwa sasa silitofautishi hilo gazeti na yale magazeti ya pale bamaga mkabala na petrol station ya tsn.
 
Kwa dar es salaam eneo ambalo Lowasa ana ngome ya wapiga kura anaoweza kuwaamini ni KIMARA.Mtafiti yeyote ruksa kuthibitisha hilo.Kimara ni sehemu ndogo mno ya wakazi wa Dar es salaam ambayo haimpi ushindi hata afanyaje Dar es salaam
 
Hilo Gazeti La Mwananchi Halijaandika Kuwa Lowassa Akishinda Hiyo Mikoa Ndo Atakuwa Mshindi,wamesema Atakaye Changa Karata Zake Vizuri Katika Hiyo Mikoa 9,acha Kuquote Vitu Vya Watu Utakavo Wewe Kiushabiki!!
 
Kwa dar es salaam eneo ambalo Lowasa ana ngome ya wapiga kura anaoweza kuwaamini ni KIMARA.Mtafiti yeyote ruksa kuthibitisha hilo.Kimara ni sehemu ndogo mno ya wakazi wa Dar es salaam ambayo haimpi ushindi hats afanyaje Dar es salaam

Siyo kimara tu,hata temeke wote ni ukawa hakuna mwana ccm huku
 
tupeni statistical data ambazo ziko very vivid kuwa hiyo mikoa yote tajwa hapo juu wananchi wake ni wana ukawa tu pekee na hakuna wana ccm wowote huko. tuache kufikiria kiuenyeji / kiuchawi kama siyo kishirikina au kutumika kisiaa na badala yake let us be too scientific. mwanachi niliowajua kwa miaka 7 iliyopita siyo mwanachi hii niliyoiona kuanzia mwezi march hadi sasa au leo 15, october 2015 na nisifiche kwa sasa silitofautishi hilo gazeti na yale magazeti ya pale bamaga mkabala na petrol station ya tsn.

Skiza ww wataalamu wa masuala ya statistics wanaangalia idadi kubwa ya wanachama husika na sio kwamba cha kingine hakina wanachama
 
Mikoa hiyo Ni Dar es Salaam.. Mbeya... Mwanza... Arusha.. Morogoro.. Tanga.. Kagera.. Tabora na Dodoma

Source :Mwananchi

Una hakika gani kama wote watampa kura? Msiweweseke na Mikusanyiko wengine huwa tunakuja kusikia huyo fisadi anasema nini na kwa nini an akimbilia ikulu tena kwa kutumia fedha lkn hatujaona chochote.
 
Siyo kimara tu,hata temeke wote ni ukawa hakuna mwana ccm huku

Matumaini hewa!! hebu soma hapo penye nyekundu ulichoandika.Eti Temeke wote UKAWA.Si uongo huo.Soma rudia halafu nenda kahakiki mwenyewe hicho ulichoandika halafu rudi tena uje uandike matumaini sahihi badala ya hewa unayojipa.Hata Kilimanjaro sio wote ni CHADEMA.
 
tupeni statistical data ambazo ziko very vivid kuwa hiyo mikoa yote tajwa hapo juu wananchi wake ni wana ukawa tu pekee na hakuna wana ccm wowote huko. tuache kufikiria kiuenyeji / kiuchawi kama siyo kishirikina au kutumika kisiaa na badala yake let us be too scientific. mwanachi niliowajua kwa miaka 7 iliyopita siyo mwanachi hii niliyoiona kuanzia mwezi march hadi sasa au leo 15, october 2015 na nisifiche kwa sasa silitofautishi hilo gazeti na yale magazeti ya pale bamaga mkabala na petrol station ya tsn.

Ukianzia na mimi ni mwana UKAWA, mke wangu, kaka zangu 2 na wake zao, dada zangu 2 na waume zao. Hapa ni mwanzo tu bado sijatawanya matawi ndani ya hizo familia tajwa hapo awali ambao wote ni wana UKAWA. Kwa taarifa tu mkoa wa Tabora ambao mimi natokea Magufuli alishindwa kuzindua tawi la vijana kisa PEOPLES Power, juzi kaja Makamba jr nae kaangukia pua hadi akaomba msaada wa mabomu ya polisi lakini hakikuwezekana kitu. Kwa sasa Tabora na UKAWA ni sawa na SAMAKI NA MAJI.
 
Wenye akiri fupi wanajitutumua kupinga waone walivyojaa aibu nyambaf*
 
Back
Top Bottom