MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,330
Katika hotuba yake Tabora sasa hivi ametoa ahadi kubwa kuliko Mabilioni ya JK kuwa atagawa mil 50 kwa kila Kijiji na mtaa kuwakopesha akina mama nchi nzima.
Ameahidi kujenga viwanda vikubwa vitano Tabora ili watu wapate ajira;
1. Kiwanda cha sigara
2. Kiwanda cha nguo ili ziuzwe nje
3. Kiwanda cha ngozi
4. Kiwanda cha nyama
5. Kiwanda cha nyuzi za pamba
Kiwanda cha nyuzi kimeshindikana kufufuliwa sembuse nyongeza ya viwanda vinne kupitia serikali ile ile na watu walewale na chama kile kile?
Very SAD