dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,527
Mna hati miliki ya hlo neno?
Mkuu unajielewa? unaambiwa Logo imesajiliwa nyie mnatokwa mipovu
Mna hati miliki ya hlo neno?
mnatia aibu ccm, yan mgombea wenu amebakiza kupaka nywele zake rangi nyeupe, alaf pia ajiite LOWASA jr.
hyo n dalili tosha ya kuonyesha kushindwa
Tumeshafanya maamuzi mkuu, tunaisubiri Tume ya Uchaguzi ithibitishe. CCM wako hoi kila mahali hadi wanatia huruma. Nilikuwa njiani natoka Mugumu Serengeti kuelekea Tarime, Wakuria wameamua. Mgodi wa Nyamongo (Accacia Gold Mine) ndio fimbo yao Kuu ya kuiadhibu ccm. Aroo mura sisi hatutaki Makufuri tunataka Masai. Siku yakupiga kura kama hujui kusoma ankaria tu jamaa renye kichwa cheupee piga v pare.Haina haja ya kwenda mahakamani hawa watu inaatakiwa washitakiwe kwa wananchi ambao watatoa maamuzi yao october 25
mna hati miliki ya hlo neno?
mnatia aibu ccm, yan mgombea wenu amebakiza kupaka nywele zake rangi nyeupe, alaf pia ajiite lowasa jr.
Hyo n dalili tosha ya kuonyesha kushindwa
Tatizo lenu ni wapumbavu
Haya soma hii link hapa chini uone waanzilishi wa M4C
https://www.google.co.uk/search?q=m...Q_AUoA2oVChMIqYW0z-iAyAIVwjIaCh0gdAee#imgrc=_
Mna hati miliki ya hlo neno?
Hata lowasa anatumia aleselema ya magufuli
Mahakamani ni hatua nzuri ila nakuhakikishia hata huko mahakamani itakuwa ni blablaa tu. Katika nchi za kiafrika chama dola huweza kufanya chochote bila hatua za maana kuchukuliwa.
Mgombea wao hawezi kuongelea ilani ya chama maana hata hajui kwa sababu hajakaririshwa.jamani hivi ilani (party manifesto) ya chadema ni ipi? Mie nimefuatilia kwenye mikutano sijamkia mgombea wao akiielzea ilani ya chadema
Mgombea wao hawezi kuongelea ilani ya chama maana hata hajui kwa sababu hajakaririshwa.
kama maneno mengine anaongea kama vile analazimiahwa
WATAFUNGWA WAO; NA WAJE MAHAKAMANI
- M4C - Chrome Plated Cap-O-Matic Space Pen - Fisher Space Pen Co.
M4C - Chrome Plated Cap-O-Matic Space Pen Style: Cap Activation Finish: Chrome Plated Length: 5.375" Cartridge: Fisher PR4 Black ink Medium point. Packaging: Gift Pack Box. The M4C in its case.
nyimbo za komba mmebadilisha maneno tu, midundo na sauti zipo kama zilivyo, anzeni na hilo mahakamani tuone uadilifu wenu wa kisheria.hahahaaaaaaaaaaaaa
nyimbo za komba mmebadilisha maneno tu, midundo na sauti zipo kama zilivyo, anzeni na hilo mahakamani tuone uadilifu wenu wa kisheria.