Recent content by Paul Buchira

  1. Paul Buchira

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji Jumanne Alela maarufu kama "Mzee Matata" wa Mizengwe afariki dunia

    Dahhh mzeee tulikuwa wote pale Muhimbili kweli niliona alikuwa anaumwa... pumzika kwa amani.
  2. Paul Buchira

    JamiiForums Tanzania Nimedhulumiwa/ kutapeliwa na tajiri na sioni pa kumpeleka

    [emoji16][emoji16]
  3. Paul Buchira

    JamiiForums Tanzania Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

    Subri.....
  4. Paul Buchira

    JamiiForums Tanzania Hoja fikirishi: Watanzania tufanyeje ili tuwe na vipato vikubwa?

    Tufuge ndevu[emoji120]
  5. Paul Buchira

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz anavuna alichopanda. Wasanii wenzie wasilazimishwe kumuunga mkono. Mmesahau ya Fiesta kipindi cha Makonda?

    Achana!! na dogo aisee wacha afanye kazi mwacheni wivu hakuna msichojua kuhusu huyo dogo kuanzia elimu yake na mafanikio yake sasa zaidi unataka usaidiwe nini?
  6. Paul Buchira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

    Sema wewe ndugu
  7. Paul Buchira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

    Potelea pote lazima tumpe ukweli wa Dunia[emoji16]
  8. Paul Buchira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

    Hujatoka wewe lakni mwenzio anatoa kama kawa hawezi kukoswa ubunifu kwa sababu yako, kisichokutoa hapo ni ufundi wa mama sio vingine..tunasema maji kila kilefu inaitaji uzoefu[emoji16][emoji16]
  9. Paul Buchira

    JamiiForums Tanzania Nimpe kiasi gani kama shukrani?

    Nafkri litachukuliwa kivingine...lakni fatilia uzi huu wapo watu watakupa ushauri mzuri na utajifunza kitu. binafsi 5% itatosha nayo itategemea na namna mlivyopeana kazi.
  10. Paul Buchira

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kujua mtoto ni wangu au si wangu bila kutumia DNA?

    Unataka kujua iliiweje?? Uo utoto ukikua utaacha..we baba yako kauliza wapi kuju wake au sio sioni sababu yoyote lqbda kama matymizi yamekulemea au mama anarukaruka.
  11. Paul Buchira

    JamiiForums Tanzania Ugawaji wa masafa ya redio: Ni kwanini kusiwe na ''frequency'' moja kwa kituo kimoja cha redio nchi nzima?

    Watalaam wa mienendo ya mawimbi, vyanzo na utunzaji wake watakuja na majibu...
  12. Paul Buchira

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

    Vuta bangi mwanagu utakuja kunishukru siku moja[emoji23] Kubwa zaidi umaskini unagonga odi kwenye maisha yako.. Hiyo ni dalili moja wapo[emoji122].. Soma vitabu vya uchumi na mafanikio ya watu.. Usipende kujikatia tamaa hakuna lolote gumu Duniani isipokuwa kifo.
  13. Paul Buchira

    JamiiForums Tanzania Jennifer Lopez Avalishwa Pete ya Dola mil 1 sawa na bilion zaidi ya 2 tshs na Mchumba Wake

    Used aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
  14. Paul Buchira

    JamiiForums Tanzania Hili ni tatizo kwa vijana wengi wa Kitanzania, nimesikitishwa sana. Serikali iangalie jambo hili

    AHSANTE BRO, kesho naomba nikutoe chai hapa kwa mama mmoja anapika vizuri utaweza kweli??
Back
Top Bottom