Ugawaji wa masafa ya redio: Ni kwanini kusiwe na ''frequency'' moja kwa kituo kimoja cha redio nchi nzima?

Bado mpaka sasa vifaa local kuwa digital hapa ila kwa ulaya teyari.
Mfano star tv wanatumia frequency moja ya mawimbi TV kuchambua tv zote.
Kwa nini!
Frequency zina masafa yanayo kwenda na geograph na yanapo ishia
View attachment 1719220

View attachment 1719221

Vizuizi
Hali ya hewa mfano ukanda baridi,ukanda wajoto na n.k
Sehemu ya miinuko,ukanda wa bahari,tambarare na n.k

Hivi vote vinaweza kufanya frequency kushinda kufika maana inazidi kupotea kwa kuwa frequency ni wave.
Wave ina tegemeana na uwezo mnaotumia
View attachment 1719222
View attachment 1719223

Kama wave zinazotumia fm ni ngumu kufika mbali sana ila zinaweza kuboreshwa.
Siwezi kueleza kwa kuandika sana
Mkuu umejibu kisiasa sana ,na sidhani kama hili ni jibu sahihi
 
Frequency ni kipimo cha mawimbi (wave) kwa upatikanaji wake na kazi yake ndio maana inaweza kupimwa kuanziwa kama
Hapa
IMG_4179.jpg

IMG_4180.jpg

Kila kipimo kinaweza kusaidia kazi au kutoingilia shughuli za kazi flani.miaka ya zamani SW (short wave) zilikuwa zinaingiliana na redio za jeshi,vyombo vya anga au majini mpaka yule jamaa aliyesikia azana mwezini kumbe ni mawasiliano.
Mipaka ya mawasiliano ndio inaweza kusaidia mawasiliano.

FM ni fupi sana inapovuka inakuwa kazi nyengine tena au maana wevu inapozidi kusogea inatengeneza kazi zingine au kuleta jambo lengine
 
Very good idea, tatizo ni watu kukatia leseni frequency na kuihodhi, ukiitaka anakwambia nipe bilioni 2 nikuuzie, shida ndio ipo hapo, mtu anaona bora achukue frequency nyingine iliyo tupu
Hapa naanza kuelewa , ni urasimu tu kumbe
 
Inasemekana Radio nyingi za FM zinalilia kuwepo kwenye FREQ za chini kwa sababu

1. FREQ ndogo = WAVELENGTH kubwa = na so usafiri wa information una cover ENEO kubwa

2. Radio zilizo kwenye magari nyingi zinatoka JAPAN, na ukizichunguza zimeishia kwenye FREQ za chini nafkiri mwisho 90 MHz, hivyo kurusha matangazo yako kwenye masafa haya kunafanya uwe na wasikilizaji wengi

3. Sasa kupata izo FREQ za chini kila mkoa ni issue, ndio maana utapigania upate baadhi ya mikoa na mingine umuachie Mungu muumba
Jibu ni urasimu , ni kweli majority ya radio za gari za japan zinaishia 90mhz , ndio sababu clouds iliwika kuliko times fm
 
Asante kwq hii nafas adimu mm nimesoma engineering ila mambo ya wqve huwa nabaki kapa nimeona leo tuchuane tu hapa hapa

Swal langu ni hili wave ni matter au energy ?

Je wave ni flow of what ? Mfano electricity is flow of electron

Tatu io michoro inayoaneshaga frequency .wave length ni graphical representation au ndio wave inavypsafir km nyoka
 
Very good idea, tatizo ni watu kukatia leseni frequency na kuihodhi, ukiitaka anakwambia nipe bilioni 2 nikuuzie, shida ndio ipo hapo, mtu anaona bora achukue frequency nyingine iliyo tupu

Kuna siku utasikia simu ukipiga unasikia TBC fm.maana wave ujaziweka IEEE.hivi mjielewagi,bila mipaka bila sheria basi hata hiyo internet au mawasiliano usingekuwa unapata kwa kutembea
 
Bado mpaka sasa vifaa local kuwa digital hapa ila kwa ulaya teyari.
Mfano star tv wanatumia frequency moja ya mawimbi TV kuchambua tv zote.
Kwa nini!
Frequency zina masafa yanayo kwenda na geograph na yanapo ishia
View attachment 1719220

View attachment 1719221

Vizuizi
Hali ya hewa mfano ukanda baridi,ukanda wajoto na n.k
Sehemu ya miinuko,ukanda wa bahari,tambarare na n.k

Hivi vote vinaweza kufanya frequency kushinda kufika maana inazidi kupotea kwa kuwa frequency ni wave.
Wave ina tegemeana na uwezo mnaotumia
View attachment 1719222
View attachment 1719223

Kama wave zinazotumia fm ni ngumu kufika mbali sana ila zinaweza kuboreshwa.
Siwezi kueleza kwa kuandika sana
Frequency ni kipimo cha mawimbi (wave) kwa upatikanaji wake na kazi yake ndio maana inaweza kupimwa kuanziwa kama
Hapa
View attachment 1719394
View attachment 1719395

Kila kipimo kinaweza kusaidia kazi au kutoingilia shughuli za kazi flani.miaka ya zamani SW (short wave) zilikuwa zinaingiliana na redio za jeshi,vyombo vya anga au majini mpaka yule jamaa aliyesikia azana mwezini kumbe ni mawasiliano.
Mipaka ya mawasiliano ndio inaweza kusaidia mawasiliano.

FM ni fupi sana inapovuka inakuwa kazi nyengine tena au maana wevu inapozidi kusogea inatengeneza kazi zingine au kuleta jambo lengine
Sawa, ila jibu hoja sasa
 
Asante kwq hii nafas adimu mm nimesoma engineering ila mambo ya wqve huwa nabaki kapa nimeona leo tuchuane tu hapa hapa

Swal langu ni hili wave ni matter au energy ?

Je wave ni flow of what ? Mfano electricity is flow of electron

Tatu io michoro inayoaneshaga frequency .wave length ni graphical representation au ndio wave inavypsafir km nyoka

Wave upande gani.kweli umesoma kweli
Rudi shule kwanza
 
Siasa zipo wapi.ulishatumia wave WIFI zile zinazotumia kupata huduma yako pale ofisini upate redio
Basi mkuu hukuelewa swali, jamaa ameuliaz kwa nini tikiti Maji fm isimaintain frequency zake za 90mhz kila mkoa inoenda kufunga fm tower?,
Jibu limedhihiri inawezekana sana kufanya hivo na hakuna shida shida ipo kwa hao wanaokupa idhini hawakubali kukupa same frequency.
Naanza kuelewa , kuna utittiri wa gari za kijapan na radio ambazo zinaishia 90mhz , kama kila kituo kingekubaliwa ku maintain frequency zake basi kuna hatari baadhi ya radio zingekuwa hazina wasikilizaji wa magari au baadhi ya radio.
 
Nunua drone alafu tumia jeshini ujue kuwa tikiti maji fm lina fanya kazi.
Kila kitu kina mipaka mpaka leo unaishi na mipaka soma makubaliano ya IEEE
IMG_4181.jpg
 
Inasemekana Radio nyingi za FM zinalilia kuwepo kwenye FREQ za chini kwa sababu

1. FREQ ndogo = WAVELENGTH kubwa = na so usafiri wa information una cover ENEO kubwa

2. Radio zilizo kwenye magari nyingi zinatoka JAPAN, na ukizichunguza zimeishia kwenye FREQ za chini nafkiri mwisho 90 MHz, hivyo kurusha matangazo yako kwenye masafa haya kunafanya uwe na wasikilizaji wengi

3. Sasa kupata izo FREQ za chini kila mkoa ni issue, ndio maana utapigania upate baadhi ya mikoa na mingine umuachie Mungu muumba
mkuu nimekuelewa vzr sana.
Ndio maana kuna zile frequency unakuta labda ni 114 huwa zinakoroma sana.
 
Kwani location inaanzia wapi redio kama tikiti maji fm unataka ifike mkoa wako kwa masafa hayo
Mkuu frequency allocation ni kazi ya tcra , nazungumzia allocation na sio location .

Swali lilikuwa kwa nini radio moja isimaintain same frequency let's say 90mhz ,kwa kila mkoa inayoenda kuomba leseni za matangazo . Mind you haimaanishi tikiti maji fm akienda kuomba leseni mbeya kuwa atatumia mitambo ya dar la , atanunua broadcasts station mpya huko na atalazimika kuwa na studio mbeya ,
 
Nikujibu Kitaalam,

1. Serikali kupitia mamlaka huanza kugawa masafa tofauti pale radio inapoomba leseni ngazi ya kikanda (regional) ambapo hupewa masafa 9 (booster stations).

Kiufundi:-
Radio ikifunga mtambo labda tuseme wa 2KW na mfumo wa antenna unaofikia dB14gain tuseme radio hii imefungwa Arusha. (Arusha Booster Stations) mawimbi haya yanaweza kusafiri kwenda mbali zaidi hadi kuingia mikoa ama wilaya zingine za Jirani.

Mteja huyuhuyu akaamua tena kuweka Booster yake Babati /Manyara. Kwa mitambo ya ukubwa uleule, uwezekano ni kwamba Booster ya Arusha na ya Manyara zitafika eneo moja (kuingiliana) kwa zaidi ya asilimia 40%.

Kitalaamu sasa iko hivi:-
Masafa ya kufanana yanapogongana hutengeneze ukimya (generetes silence) yaani radio yako haitasikika kabisa.

Hii ndo sababu unapewa masafa tofauti ili hata kama.yatagongana msikilizaji anaweza kuchagua anasikiliza Booster ya Arusha au Babati.

2. Sababu ya Pili.
Wangefanya kama ulivyopendekeza nadhani nchi nzima ingeliweza kujaa aidha kwa radio 20-30 pekee. Wengine wasingepata masafa. Lakini sasa kwa mgawanyo huu tunaradio zaidi ya 150+ Tanzania. Ingekuwa ukiomba unapewa wewe tu uiumie nchi nzima basi ingekuwa frequency ikiombwa ndo imetoka moja kwa moja hiyo.

Sababu hizi kuu, mbili zinajibu hoja yako kuwa, masafa yanagawiwa hivyo ili kutoa nafasi kwa radio nyingi zaidi kuanzishwa na pia kiufundi kuepusha mwingiliano wa masafa hayo.

Kwa huduma za kuanzia radio, kununua vifaa vya radio, kufungiwa mitambo n.k tuone sisi,

Broadcast Technology Limited
www.broadcast.co.tz
Email: info@broadcast.co.tz
 
mkuu nimekuelewa vzr sana.
Ndio maana kuna zile frequency unakuta labda ni 114 huwa zinakoroma sana.
Kukoroma sio kwa sababu ya namba ya izo FREQ bali ni jinsi information iliyobebwa ndani hiyo BAHASHA (114) kufanyiwa coding ambayo kwa ki'ANALOGUE tunaita AMPLITUDE MODULATION AM
 
Back
Top Bottom