dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,403
- 19,425
HahahahahDaaahh, utamu expired!
Usipotajiwa umri unaweza dhania ni mdada wa 30-35 hivi
HahahahahDaaahh, utamu expired!
Hiyo petei ni ya silver au goldJennifer Lopez Avalishwa Petei ya Dola mil 1 sawa na bilion zaidi ya 2 tshs na Mchumba Wake....., Hii Sasa ni mara ya Tano Kuvalishwa pete Tena na Wanaume Tofauti
Cris Judd aliyekuwa dansa wake kushika hatamu ndani ya mwaka mmoja tu penzi chaliii. Mwingine aliyewahi kulamba asali na pete akamvisha ni Muigizaji Ben Affleck couple iliyopewa jina Bennifer ndoa yao ilidumu kwa miaka miwili tu na kuvunjika. Baadae Jlo alichumbiwa na Muimbaji Marc Anthony na kufanikiwa kuzaa naye watoto wawili mapacha.
View attachment 1045272
View attachment 1045273

Immortal
Hahahahah
Usipotajiwa umri unaweza dhania ni mdada wa 30-35 hivi
Ni kweli, Ukitafuta mama wa 52 huku utakimbia
Wenzetu wanaweza kuishi life style waitakayo. Sisi huku ni majanga.
Huu uchumi wa kati waweza kututoa kimasomaso, ngoja tukazane kunywa mtoriNi kweli, Ukitafuta mama wa 52 huku utakimbia
Sio kesho ni baada tu ya kumaliza ttafrija ya pete inapigwa bei.
Ni Pete ya bati
Used aisee
Niliona nikasema hayanihusu. Ila mzee umeshindwa limezea mate 😂😂😂😂😂Huyo jamaa hiyo raba yake kama imeviringishwa hirizi
Chuma tu
Watu wamechakata weee yani mpaka basi, kimebaki nini hapo??. Ukichakata nawewe unaambulia mafua maana kanatoa vumbi simchezo
TayariHajaachwa? 2